"An extra pillow"

"An extra pillow"

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
At many hotels, ordering "an extra pillow" is coded talk for ordering a prostitute.
 
Mbna kuwa na 2 pillow ndo nzuri kiafya? Pillow moja kwa kichwa nyingne kwa miguu ndo unakuwa na gud body balance na flow of blood!
 
Boflo mbona vitanda vya hotelini huwa vina mito miwili? We huwa unapenda kulalia mito 3? Huo wa 3 huwa unauweka wapi labda ndiyo maana wanashindwa kukuelewa na kufikiri unamaanisha unahitajia a prostitute!
 
Boflo mbona vitanda vya hotelini huwa vina mito miwili? We huwa unapenda kulalia mito 3? Huo wa 3 huwa unauweka wapi labda ndiyo maana wanashindwa kukuelewa na kufikiri unamaanisha unahitajia a prostitute!

kwel ndo mimi pia nlikuwa najiuliza
 
Mie huwa naona mito zaidi ya 4, bora niwe natoka na pillow home
 
Boflo mito yote hiyo inakusaidiaje ukizingatia wabongo sie style zetu za kulala tunalala utadhani tunacheza mieleka.
Dah
 
Last edited by a moderator:
Hembu acha nijimwage mwenyewe hapa.Maana naona watu vigugumizi

Mi kwangu ipo mitatu,mmoja ndio mkubwa huwa nautumia kumuwekea MadameX kwenye Kiuno wakati wa ku do in some styles.

Msinihukum ni mtizamo wangu tu.

Ila kuna wengine nasikia ni waoga kulala peke yao sasa wanaweka matito mengiiiii ili waone kama wapo na watu wenzano.Ili usiku upite

....Napita jamani
 
hotel mito iko ata 4 wewe bado unataka extra ndio maana wanafikiria unataka malaya
 
Back
Top Bottom