Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."...
Hebu tuwe wawazi wana jamvi wenzangu. Je kuna tabia gani au kasoro yoyote aliyonayo mwenzio wa ndoa uliyenae ambayo kama ungegundua kabla hamjaoana basi usingekubali kufunga pingu na kwa sasa...
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba...
The New Rules for Love, Sex & Dating - The Right Person MythWhen I meet the right person, everything will be all right. This way of thinking creates trouble in our dating lives and sets us up for...
Mimi na mpenzi wangu tumeanza mahusiano miezi 5 iliyopita ila namjua kwa takribani miaka 4 sasa.Lakini huyu mtu wamgu huyu hataki kugegedwa kabisaa, na mimi huko nyuma nilikua na wapenzi na...
Mapenzi ya kweli sio tu kwenu tu...ni kwa wote.. Angalia Video Jamaa karudi nyumbani baada ya kupotea miezi sita..Yaani rafiki yake amemmic ile mbaya..
http://youtu.be/JC5DXGIC8s8
Naona kama watu wengi wanaona ni jambo la kawaida,hata ikisikika mtu katembea na binamu haishtui watu,
je kimaadili hasa ni sahihi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binamu?
Nini hasa kinaonyesha...
Wanaume ni watu makini sana kujiuliza their feelings. Kuna njia nyingi sana kwa wanawake kudestroys these feelings bila kufahamu kama wanafanya hivyo.
Baadhi ya vitu wanawake wanavyo fanya ku...
^^
Sote tunafahamu umuhimu wa kitanda cha chumbani katika kuleta furaha ya mapenzi kati ya wapenzi wawili wa jinsia tofauti..Lakini pengine ni wachache wanafahamu kuwepo kwa uhusiano kati ya...
Mwaka 1993, bendi ya muziki wa Dansi ya VIJANA ORCHESTRA wana SAGA RHUMBA ikiongozwa na MUHINA PANDUKA a.k.a TOTO TUNDU, walitoa albamu yao ( sikumbuki jina la albamu)...
Mwanamke mwenye sura kama hii huwa hupendwa sana na wanaume walio wengi
Mwanamke wa dizaini hii mda mwingi huonyesha tabasamu
Mwanamke mwenye sura kama hii huwa na umbile zuri
Mwanamke mwenye...
Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali...
Kama una mpenzi wako ambaye kila siku za outing anachelewa saloon mfano mmealikwa kwenye harusi yeye saa mbiliw bado hajarudi nyumbani kujiandaa,unafanyaje? Mnaahirisha kwenda au unaweza kwenda...
Habari za jioni wadau...
Mimi hii picha inanikumbusha Chuo hata kama maisha/masomo magumu unakomaa tuu,ukikubali kukamatwa ujue unaliwa kichwa,hata ktk Mahusiano ukiumizwa komaa usimezwe nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.