kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Wanaume ni watu makini sana kujiuliza their feelings. Kuna njia nyingi sana kwa wanawake kudestroys these feelings bila kufahamu kama wanafanya hivyo.
Baadhi ya vitu wanawake wanavyo fanya ku kill men feelings ni,
1. Uwoga wa kuona nini watu wengine wanaona, utakuta mtu na mpenzi wake wanaongozana njiani. Mwanaume anaamua kumshika mpenzi wake kiunoni. Mwanamke badala ya kufurahia yeye anakuwa anamtoa mwanaume mikono yake kwa kiuno chake. Au mwanaume anakuwa anaamua kumpa kiss ya mdomoni, mwanamke badala ya kumpokea kwa mdomo yeye anaamua kumgeuzia mashavu
2. Mwanamke kutojiamini, utakuta mwanaume anamsifia mpenzi wake kwa jinsi alivyo pendeza. Mwanamke badala ya kujibu kwa neno moja ASANTE, yeye anajibu kwa more than ten reasons mara kwa nini siyo kweli na bla bla
3. Muda wa kushare upendo, Hili nitalielezea kwa mfano. Utakuta mdada yupo sitting room na laptop yake alafu jamaa kamsuprise kwa kijizawadi labda. Jamaa kamziba macho kisha akamwambia aguess what. Mdada baada ya kuguess na kukabidhiwa zawadi yake yeye anaendelea na JF kujibu uzi wa Mtumbuzi, The boss au bujibuji. Hili siyo jambo jema, mdada anatakiwa asimame nini alichokuwa anakifanya kwa dakika kadhaa kushare mawili matatu na jamaa kisha aendelee na JF.
4. Kutoshirikishwa kitu fulani, mwanaume anapata kufahamu kitu fulani kutoka kwa wafanyakazi wenzake mpenzi wake au mama wa mpenzi wake kabla ya yeye kufahamu. Mwanaume anapenda kufahamishwa kila kitu wakwanza either kiwe kizuri au kibaya
5. Mwanamke kupenda pesa, endapo mwanaume atagundua mpenzi wake anapenda pesa kupita kiasi pamoja na vitu vya gharama kubwa. Mfano unamtoa out Lara 1 kisha yeye anaagiza Jack Daniels huku tayari alikwisha kukuona umeagiza Safari laga baridi hapo ina kill feelings faster.
Wana MMU wenzangu, tulonge.
Aminia!