Mzozo wa wapenzi wawili usiku, umesababisha mmoja wa kike kupiga mayowe ya kumuita mwenzake mwizi, akavamiwa na watu waliompiga na kumchoma moto hadi kufa.
Kisa hicho kimetokea mkazi wa Magazini...
Wana jamii mimi mdada mwenye umri wa 27 na mume wangu mzee nampenda sana lakini yeye hanipendi kila siku ananigeuza punching bag la kufanyia mazoezi na tuna watoto wa 4 nafikiria kumtoroka sema...
Wadau,naomba msaada katika hili,
Hivi ni kwa nini unapomgegeda mke wa mtu wengi wao hupenda kuzitoa pete zao za ndoa wakati kwa mimi huwa napenda wasiwewanazitoa coz huniongezea mshawasha na...
Wana JF leo nakuja mbele yenu naomben ushauri wenu kuna siri nimekaa nayo mda mrefu sana moyon sasa nahisi nashndwa kuvumilia nimeamua kuitoa.
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tulitokea...
Mwanamke mmoja Taofikat Bello mwenye umri wa miak 33, amevunja ndoa yake na mumewe iliyodumu kwa miaka mitatu aitwae Jimoh kupitia mahakama moja ya mjini Ilorini nchini Nigeria. Mwanamke huyo...
Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake...
Wanajamvi: Kichwa cha habari kimefafanua.
Maoni: Ninapendekeza kuwepo uzi maalamu ambao utakuwa na mada zilizotolewa jukwaani zikiomba ushauri mbalimbali zinazoendana na lengo la jukwaa hili...
Kila nikimpigia simu nimueleze ya moyoni hapokei,nikituma sms hajibu,nimejaribu ku mrequest fb sijaona responce yoyote,au nichukue kadi ya ccm nijiunge na UVCCM ndio unielewe?
MH.ESTA...
Wasalaam wapendwa wa JF hasa ukumbi huu wa MMU,
Kama ilivyo kawaida ya wanaume wengi tulio kwenye ndoa, huwa hatukosi kuwa na nyumba ndogo al maarufu kama mpango wa kando.
Mimi binafsi kusema...
Wivu noma sana , Dada mmoja huko Nigeria amelitia Kiberiti Gari la mpenzi wake aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika kwenye gari hilo , Mashahidi wanasema wakati...
Nilikuwa nabadilishana mawazo (mazungumzo) na rafiki yangu wa karibu. Akaniambia aiwezekani na aitawezekana kumpigia magoti mume wake. Wanaume are not worth it bla bla bla.. Kufanya hivyo nitakuwa...
maisha ni mizunguko na yenye changamoto nyingi, hususani katika masuala ya mapenzi, kila mtu katika mapenzi lazima akutane nayo,
zamani nilidhani wengi wanaokutana na matatizo ktk mapenzi ni...
Habarini zenu wajf?
Mimi ni msichana ambaye nipo kwenye mahusiano kwa muda miaka mitano sasa na tatizo ni huyu mwanaume niliyenae,mwanzoni kabla ya mahusiano alikuwa amepanga maeneo ya sinza sasa...
wakuu vipi mimi ni kijana mwenye bahati ya kupendwa na mke wa mtu ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya TBL.
ukweli wa mungu ananipenda sana.maana nampa mapenzi ambayo yeye mwenyewe anadai hajawai...
Jaman si utani hili nalo ni janga...
Dada mrembo sura kama mtoto wa primary.. Shuka kidogo kifuan kwa kiasa pana mvuto.. Lakini maeneo ya tumbo sasa mh sisemi zaidi.. Unakuta tumbo limetepeta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.