Ni kweli mbwa huwa wana upendo sana na watu wanaowatunza na mara nyingine wako tayari hata kufa kujaribu kukuokoa wakati wa shida. Ni tofauti sana na binadamu hasa wa sasa ambapo upendo wetu umemezwa na pesa, hatuna tena upendo, naichukia pesa sana ingawa naitafuta usiku na mchana!!!
Ila tabia ya kubusu mbwa huwa siipendi kabisa. Nimbusu mbwa halafu mdomo huo huo nim-busu nao mai waifu wangu, hapana aisee!