MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 623
Hivi kwanini siku hizi kama kutongozana kumepungua? yaani mtu unamtaka msichana kumwambia directly ni inshu mtu unaanza ,dear, vizawadi kidogo, unamwita sweet heart,baby n.k , sasa dem akiliunga tela dear,baby,honey ndo nitolee hiyooo,mnagegedana ,halafu dem anasema hivi sisi ni wapenzi?hata sijielewielewi, duh kumbe zamani nilikuwa natumia nguvu nyingi sana kumpata mwanamke .Kweli nimeamini dunia sio ngumu ,kama vile mungu alivoumba kwa kutumia maneno.