Namtafuta sana francis lowasa

Namtafuta sana francis lowasa

TOM TEXAS kama huna majibu ni bora ukae kimya tom kuliko kutukana afu unajiita texas wakati kwenu madongo kuinama longido afu unajisikia fahari kuvaa tshart imeandikwa london motualy attendat ---- wewe
 
Dada gen huyo francis ana undugu na mamvi? Ni mwanau au? Kama ndio ingia web ya bunge upate contact za lowasa uwasiliane nae au tumia mbunge ambaye unawasiliana nae amfikishie salamu kwamba francis lowasa anatafutwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom