Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu MMU, Leo nimeona nikumbushie zamani zile za bila Simu za Kiganjani namna tulivyokuwa tunatongoza na kupeana Vi date. Kipindi kile Nam Date Catherine, nilikuwa tu namwambia Jumamosi uje...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
mara nyingi zaidi karibu wanaume wengi wanatumia maneno mawili tu kuwashawishi wanawake/wasichana. 1.nakupenda-hili hutamkwa awali kabisa na mbwembwe zingine ndio zinafata.HATA kama hakupendi...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Kijana mmoja baada ya kufunga ndoa,baba yake alimtaka alete kalamu ya risasi karatasi na ufutio. Baada ya kijana huyu kuja na vifaa hivi, baba akamwambia mwanae andika: Kijana akauliza:Niandike...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
mbaba anatembea na mwanae wa kumzaa yeye. Wengine wanapata ujauzito. Hapo kwenye ujazito wa baba kwa mwanae wa damu unanipeleka mbali nakukumbuka story miaka ya 2000 katika kipindi cha ushauri...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpenzi wangu nakutafuta sana hupatikani hewani ni miezi mitatu sasa,sijui nini kimekukuta,Nakuomba popote ulipo tafadhali nitafute kwani nazidi kukonda kwa mawazo,nakumbuka mara ya mwisho tulikuwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
You know how hard it is to find a right person to settle down with these days? Now you actually have one who would do anything for you, and you have the nerve to flirt with other people on...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
hili linawatokea baadhi ya watu. MSICHANA unapata zako boyfriend safi,nyumbani mdogo wako ni mzuri zaidi yako. UNAMTAMBULISHA jamaa kwa mdogo wako kwa nia njema tu.Jamaa anamzimikia na pengine...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nina mpenzi wangu ambaye nimeridhika naye kwa kuwa ninampenda, na kama mapenzi ya Mola yatatimia ningependa awe mama wa watoto wangu. Ni mwanaume wake wa kwanza. Ni binti mrembo...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya Kufumaniwa na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
^^ Bila shaka wewe si mgeni katika safari ya maisha! Hata kuwa na uwezo wa kuingia ktk mitandao na kuchangia fikra zako basi ni dalili njema kuwa una ufahamu. ... Kuna watu katika maisha...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukitakaka kuondoa stress basi wewe peruzi jf. Ona mmoja wa wadau asemavyo,nanukuu: "mbunge wetu......haonekani bungeni,ukimuhitaji mkute guest house "AKICHONGA PENSELI YAKE KWENYE KICHONGEO"...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
si kwa ubaya kama umewahi kutembelea benki ya equity tawi la golden jubilee basi bila shaka utakuwa umewahi kukutana na angel like face ya binti mmoja hivi kwa muonekano kama half cast ivi...
0 Reactions
86 Replies
10K Views
wadau leo nimepata jipya eti boy friend wa binti amedai hawezi kufunga ndoa kwasababu binti hana ndugu wenye uwezo wa kumfanyia send off. Hivi huyu mtu ni muoaji kweli? Mimi sidhani.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
awe 1.mzuri 2.mpole 3.mkarimu 4.mpenda watu wote 5.asiwe na makuu 6.atakeheshimu ndoa 7.elimu(reserved) 8.apendaye wageni na ndugu wa pande zote HAPO NAMBA 8. wanawake wengi ni...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
wadau nisaidieni modem ya airtel haisomi kabisa mpk nitumie 3 bandmodem ndoo inasoma hii modem ni TZE MF 190
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mke wa rafiki yangu amejifungua wiki kadhaa zimepita, rafiki yangu siku zote alipenda kuwa part of everything going on with his son ikiwa ni pamoja na kumuogesha kichanga. Alimuomba mama mkwe wake...
3 Reactions
59 Replies
4K Views
Ile staili ya mwanzoni mwa miaka ya 2000 ya kuwang'oa warembo kwa kuwahadaa safari za South, Dubai, Mauritius na hata Zanzibar, sasa imerudi tena. Huwa inakuwaga hivi, jamaa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwaka 1995 tulikuwa na mkata majani wetu aliyeitwa Manase. By that time, Manase alikuwa na miaka 25. Huyu jamaa alikuwa smart sana, kwa namna alivyo kuwa anajiweka smart...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Jamaa yangu mmoja kapigwa changa la macho. Mpenzi wake aliyedumu naye kwa taktiban miaka miwili, ambaye alikuwa mara nyingi anamsisitiza aende kwao akajitambulishe ili wafunge ndoa huku jamaa...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Najua vijana tunapenda sana kugegedana. Ushauri wangu punguzeni au acheni kabisa au baki na mmoja umpendae.Sio kila umwonae mate yanakutoka. UsiniPM kuniomba namba ya simu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom