TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 351
Ukitakaka kuondoa stress basi wewe peruzi jf.
Ona mmoja wa wadau asemavyo,nanukuu: "mbunge wetu......haonekani bungeni,ukimuhitaji mkute guest house "AKICHONGA PENSELI YAKE KWENYE KICHONGEO" nimecheka mpaka nikavibrate mpaka nikaamua kuleta thread hii kwa wataalam wa tafsiri.Bila kutafuna maneno hiyo sentensi niliyoiandika kwa herufi kubwa ina maana gani maana wengine wameishia kuelewa eti kilichozungumzwa ni penseli na kichongeo. Ukivuka mpaka ukalimwa ban ucnitaje.