KUKU kudonoa MAYAI yake mwenyewe.Je alaumiwe?

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
mbaba anatembea na mwanae wa kumzaa yeye.
Wengine wanapata ujauzito.
Hapo kwenye ujazito wa baba kwa mwanae wa damu unanipeleka mbali nakukumbuka story miaka ya 2000 katika kipindi cha ushauri wako RFA.
msichana kabanwa nyumbani mpaka anamaliza form six ni bikra.Akapata mpenzi,siku ya kwanza katoroka kwenda kufanya uzinduzi wa papuchi yake.
Wakati uzinduzi ukiendelea ndani ya geto ya mshikaji mara DINGI la demu likaingia na mlango na kuwafumania mtoto na boy wake wakiendelea na pilika zao.DINGI LILISHUSHA KIPIGO cha mbwa mwizi kimyakimya kwa kijana wa watu.
LIKAMCHUKUA yule demu(mtoto wa lenyewe) likamuweka ndani ya gari na kuendesha mpaka porini(sijui mwabwepande mana haikutajwa).DINGI LIKASIMAMISHA GARI nakumtolea bastola demu(mtoto wake).
LIKAMWAMBIA CHAGUA MOJA,ama nikuue ama tufanye kama mlivyokuwa mnafanya na yule kijana.DEMU ALICHAGUA MECHI baina yake na dingi yake kuokoa uhai wake.DINGI KATUPIA NYAVU.
baadae kumbe alipata mimba kwa siku ile,mimba YA DINGI ama ya MPENZI?LILIKUWA SWALI GUMU,KUKU BHANA.
 
aiseeeee hii inatufunza nini?
 
alichofanyiwa The emperor ni zaidi ya BAN
 
Kwani yule wa mwanzo walimalizana kabla dingi hajawafuma?
 
mbaba anatembea na mwanae wa kumzaa yeye.
Wengine wanapata ujauzito.
Hapo kwenye ujazito wa baba kwa mwanae wa damu unanipeleka mbali nakukumbuka story miaka ya 2000 katika kipindi cha ushauri wako RFA.
msichana kabanwa nyumbani mpaka anamaliza form six ni bikra.Akapata mpenzi,siku ya kwanza katoroka kwenda kufanya uzinduzi wa papuchi yake.
Wakati uzinduzi ukiendelea ndani ya geto ya mshikaji mara DINGI la demu likaingia na mlango na kuwafumania mtoto na boy wake wakiendelea na pilika zao.DINGI LILISHUSHA KIPIGO cha mbwa mwizi kimyakimya kwa kijana wa watu.
LIKAMCHUKUA yule demu(mtoto wa lenyewe) likamuweka ndani ya gari na kuendesha mpaka porini(sijui mwabwepande mana haikutajwa).DINGI LIKASIMAMISHA GARI nakumtolea bastola demu(mtoto wake).
LIKAMWAMBIA CHAGUA MOJA,ama nikuue ama tufanye kama mlivyokuwa mnafanya na yule kijana.DEMU ALICHAGUA MECHI baina yake na dingi yake kuokoa uhai wake.DINGI KATUPIA NYAVU.
baadae kumbe alipata mimba kwa siku ile,mimba YA DINGI ama ya MPENZI?LILIKUWA SWALI GUMU,KUKU BHANA.

Ukiona mambo yamefikia hapa, basi ujuwe kuwa dunia imani imekwisha.
 
Unaweza kuwa na ujumbe mzuri...lakini mtiririko wa namna ya kuuwakilisha yakupa sana tabu mkuu.
 
Na kama hiyo mimba ni ya mdingi akizaliwa mtoto atamwitaje babubaba au babababu?
 
Aisee kumbe dingi alikua anamtamani mwanawe?-mayai yake?ndo maana ilimuuma!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Si tu kulaumiwa Mshinga, bali alichokifanya huyo mzee cha kumbaka mwanae wa kumzaa na kitendo kibaya na ni kosa la jinai. Alipaswa kifungo cha maisha.
 
Unaweza kuwa na ujumbe mzuri...lakini mtiririko wa namna ya kuuwakilisha yakupa sana tabu mkuu.

Kichwa cha thread kinaeleweka zaidi kuliko hata suporting story.
Je ni sahihi kwa baba kusex na binti yake?
 
Binafsi hakuna ambacho nimeshindwa kukielewa kuanzia heading hadi content. ..
Concern yangu kubwa ni namna tu ulivyoiwakilisha...it's not debatable.
 
Back
Top Bottom