LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,987
- 37,894
Ile staili ya mwanzoni mwa miaka ya 2000 ya kuwang'oa warembo kwa kuwahadaa safari za South, Dubai, Mauritius na hata Zanzibar, sasa imerudi tena. Huwa inakuwaga hivi, jamaa akiwa anamtokea demu halafu akaona demu ana mzungusha. Ana msuprise kwa message " Sorry babe, nna safari ya south Africa/Dubai/Mauritius, weekend hii, will be there for like one week.. Can u escort me there? ". Mademu wengi huwa wanaingia kingi na kukubali.. Demu akisha kubali, jamaa anamuuliza kama ana passport, kama hana jamaa anamtafutia passport fake...Safari inakuwa kwa gari, jamaa atamwambia demu tupitie kwanza Morogoro kuna ishu naenda kuifanya, tutalala Moro, kesho yake ndo tutachukua basi hadi Tunduma, then tuna kula boda hadi South. Wakifika Morogoro, jamaa anachukua hoteli, demu atagegedwa usiku mzima, halafu ikifika asubuhi, jamaa anapokea simu ya kizushi kutoka kwa rafiki ambaye anakuwa ameshampanga, simu inakuwa inampa habari za "msiba mkubwa " nyumbani kwao..Basi jamaa anamwambia, babe hakuna jinsi, inabidi tuahirishe tu safari, turudi kwanza home, niende nikamzike ndugu yangu, then safari itakuwa baada ya maziko... Baada ya 'maziko' jamaa anakuwa hapatikani, au anakuwa busy sana mwisho wa siku inakuwa ndio imetoka hivyo.