Pande zawapi sasa? Nyumbani, kazini au night club? uko unapata chakula cha usiku, pombe ama uko maeneo inapo patikana nyama kharamu? Najua sahizi kila mtu na rwake ila wengi wetu muda huu tuta kua...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naomba ni declare kuwa mimi ni binti(sijui nishakuwa mbuzi mzee) wa kikatoliki, na NDOA ni jambo jema sanaaa na ni jambo la kheri kutoka...
Nahitaji company sincerely! Take me serious in this, sihitaji dadapoa ila nahitaji mwenye kujiheshimu miss bantu mzuri bila shaka hatajutia kuwa na mini. Serious PM tu!
Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo
Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania
Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na...
Wapendwa ninajitokeza kwenu, kwa mara ya kwanza kuwaeleza kuhusu swala hili serious. natafuta girlfriend ambaye atanifaa mwenye sifa zifuatazo:-
1.awe na umri kuanzia 18-24 (mimi nina umri wa...
Habari zenu ndugu zangu!! ni kama stori za zamani au ni kama lisemwali lipo na kama halipo linakuja, ni vigumu kunielewa kwa sasa ila naomba DUWA zenu pia kwa MUNGU wetu aweze kutimiza ndoto na...
Eeee.. hiyo inafahamika ati! nyie si ni wakubwa?..
Ama baada ya SALAMU na tiririka hivi
--Sio kila anaelia lia wakati wa kuachwa na mpenzi wake analilia penzi, hapana, Kinacho liza sana ni Huge...
Habari zenu wanaMMU
Nyakati tofauti tofauti katika maongezi yangu na wasichana wa rika mbalimbali hasa katika suala la mapenzi nikimaanisha kumwaga sera(kutongoza), nimekuwa nikipata mirejesho...
Hello to all.
BACK TO TOPIC.
katika uchunguzi wangu ndani ya mapenzi na mahusiano kwa wanafunzi wa chuo kikuu nilibaini haya.
1.wengi wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanapokuja chuo huwa tayari...
Naandika hii post nikiwa nacheka mbavu sina mwenzenu. Jana kuna mshikaji wangu alinisimulia yaliyomsibu siku nzima kiasi cha kukosa amani ya moyo siku nzima kiasi cha kuja kuniomba ushauri...
Habari wanajamii wote popote mlipo hapa duniani. natanguliza heshima za dhati kwenu nyote na itifaki imezingatiwa.
Napenda niwashirikishe wanajamii wenzangu kuhusu faida za kuwa mama wa...
Habari za wakati huu wana MMU.
Kuna bibie mmoja nilimtokea kama wiki mbili hivi zilizopita. Kwa kweli ni mzuri sana..wa umbo (mengineyo sijui). Nilitaka kuona kama lile jini MAKATALIWA bado...
Ni wiki imepita tangu nimrejeshe kwao wife kwa mara ya kwanza tangu tuoane miaka 10 iliyopita kutokana na kutozingatia makubaliano tunayowekeana kama couple na jeuri, ubabe pamoja na kiburi. Lengo...
Dunia ina mambo........
Na mengine ni yakusikia tu............
Kuna jamaa yangu alikuwa anatafuta nyumba ya kuishi[kupanga],alinijulisha hili jambo na tulisaidiana kutafuta kuepuka usumbufu wa...
· Shule ya msingi pale Mashati-Rombo kulikua na mwalimu mmoja alikua na age ya 40-45 hivi hakua ameolewa wala hakua na mtoto alikua anapiga wanafunzi kama vile anapiga majambazi, nakumbuka...
^^
Jamaa yangu wa karibu ambae aliishia vidato tu basi akampata binti mrembo,elimu ya digrii nzuri na ajira safi tu! Si wakapendana! Wakakubaliana si unajua tena penzi halibagui elimu wala pesa...
1. You should take your clothes off. We won't even have sex. I just love the feeling of your skin against mine
2. I hardly ever have sex on a first date.'
3. It's cold in here, let's get under...
1. Shopping
2. Talking Much
3. Sleepover
4. Crying
5. Kumuongelea ex bf wake
6. Kuambatana na familia mara kwa mara
7. Ubishi Kupindukia
8. Jealous much
9. Piga simu kila...