Sababu ipi itapelekea uachane na mpenzi wako?

Sababu ipi itapelekea uachane na mpenzi wako?

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,084
Reaction score
12,329
Pande zawapi sasa? Nyumbani, kazini au night club? uko unapata chakula cha usiku, pombe ama uko maeneo inapo patikana nyama kharamu? Najua sahizi kila mtu na rwake ila wengi wetu muda huu tuta kua nyumbani tumepumzika na familia zetu. vipi hali ya afya yako? Ukiwa bukheri una budi kumshukuru muumba maana uzima huo hauja upata kwa ujanja wako. Ikiwa ni mgonjwa uskate tamaa Mungu ata kuafu. Naomba niwaulize wenzangu ivii NIKOSA GANI AMBALO MWANDANI WAKO AKI KUKOSEA HAUTA MSAHAMEE? KOSA AMBALO LITAPELEKEA KUACHANA NAE? Binafsi nampenda sana mke wangu nasiombi wala sitarajii kama itafika siku tutaja hachana. Lakini ni jambo moja tu ambalo akini fanyia itabidi nibadili uamuzi wangu. Jambo lenyewe ni kumfumania akiwa ana gegedwa na njemba nyingine. Je, wewe unahisi ni kosa gani gani labda ambalo lita kufanya uvunje ndoa/ mahusiano yako na yule umpendae? Usiku mwema.
 
Akininyima dushelele wakati mie maruhani yashapanda lazima pachimbike
 
Kama we unagegeda wa Wapenzi/Wake za wenzio nawe basi jua nawako atagegedwa tuuu.. hilo halina mjadala na ukimfumania usimmaind kwakuwa umeanzisha na yeye amemalizia/amelipiza, muhimu wote nikujaribu kuwa waminifu,watulivu nakuheshimu ndoa yenu.
Kila kosa linasameheka ilimradi mkiwa mmelidhiana na wenye mapenzi ya dhati.
iweje akikufumania wewe akakusamehe we usimsameheeeee....
No 1 is perfect.
 
Unaongea oa uone bala lake!!! unaicchoka!!

kingine kinachoweza kufanya ndoa ife kunyimwa haki ya ndoa kila cku tena bila sababu. Naichukia sana tabia hii, mkikosana kidogo unanyimwa haki, vunjeni tu ndoa zenu wanawake wako wengi tena hata hatuhangaiki kutongoza.
 
Back
Top Bottom