"Tatizo ni Capital, trust me!!"..

"Tatizo ni Capital, trust me!!"..

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,460
Reaction score
987
Eeee.. hiyo inafahamika ati! nyie si ni wakubwa?..
Ama baada ya SALAMU na tiririka hivi
--Sio kila anaelia lia wakati wa kuachwa na mpenzi wake analilia penzi, hapana, Kinacho liza sana ni Huge and massive investment tunaoufanya kwa wapenzi wetu as if we are land lord,
-Shoppi'n za maana,
-Outing za kila leo
-Simu za kutwa mara 3 kama dozi ya dawa na za usiku kucha, na blah! blah! nyingi 2,

Sasa Siku akikupiga STOP!
Ule msemo wa kiengereza "No one belongs to any body" ndio unao sihi hapa, and there will be no return, hata ahasante unaweza usiambulie

--Si maanishi usimpende au usimjali mpenzi wako, hapana wewe tekeleza vyote hivyo kwa moyo 1, lakin uwe unatathmini kama mapenzi yetu yana miaka mi 3 saivi tumefikia wapi? wapi tunaenda? na baada ya miaka mi 3 ijayo tutakuwa wapi?, vyenginevyo utakuwa unwatunza watu ambao hawa stahili tunzo,

Trurst me ukitaka kujua capital ina matter sana ukishamjua anaeramba Sukari yako 2, kitu cha mwanzo utataka ujue amekuzidi uwezo gani, vyengine kama mapenzi n
 
Barrick wamewekeza but mwisho wa siku itabidi waondoke na watuachie land yetu, na mapenzi yako hivyo wekeza ila ukae ukijua one day akitokea muwekezaji alie kuzidi mtaji jua mkataba unavunjika au ukisha pata unacho hitaji utasepa pia.... cha msingi ni kuliana timing tu hapo mkuu, wakikuwahi ujue umeumia na ukimuwahi kwako ni faida.
 
Capital mkuu ndio ishu
 
Capital si tunatofautiana, mwenye kubwa ndio mtabe na mwenye mdogo ndio mnyonge...
Ukiwa na mpenzi katika hiki kipindi uwe mtaalamu sana kusoma nyakati, ili usiotewe na kupewa cha ghafla ghafla

Capital mkuu ndio ishu
 
ukiingia kwenye penzi, ukatoa kutegemea fadhila, umepotea. Uoga wako mtoa mada, wangapi wanahonga gari kwa chezo la sku moja?
 
ukiingia kwenye penzi, ukatoa kutegemea fadhila, umepotea. Uoga wako mtoa mada, wangapi wanahonga gari kwa chezo la sku moja?

Sasa mimi sina Capital kiasi hiko
 
Back
Top Bottom