ERIK
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 623
- 315
Habari zenu ndugu zangu!! ni kama stori za zamani au ni kama lisemwali lipo na kama halipo linakuja, ni vigumu kunielewa kwa sasa ila naomba DUWA zenu pia kwa MUNGU wetu aweze kutimiza ndoto na malengo yangu katika mapenzi!!
kwa wale waliosoma post yangu ya mwisho watakuwa wamenieleza zai,
siku zijazo nitakuja kuwahakikishia kuwa JF na love connect ni ya watu wa kweli na wanaojielewa japo kuna wa chache wanaaribu......
EE MUNGU NAKUOMBA huyu mwana JF mwenzangu hapa ubaoni ndo awe mke wangu mtarajiwa!!
naomba msiniambie nimtaje mpaka nitakapokuwa nae katika serious lover na yeye mwenyewe kukubali nimtaje!!!