Rafiki yangu anaomba kuja Nyumbani

Rafiki yangu anaomba kuja Nyumbani

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Wadau,

Nina rafiki yangu ambae urafiki wetu ulianza toko tupo O level. Tume graduate mwaka huu. Tunakaa mikoa tofauti (nauli ni tsh 20,000/-). Kanitumia ujumbe asubuhi anasema nimtumie nauli aje huku, nimemuuliza aje kufanya nini anasema rafiki yetu mwingine kampa dili. Nimemuuliza huyo rafiki yetu mwingine kakataa kuwa si kweli hajampa dili na yeye pia kaombwa nauli.

Wote tunaishi nyumbani kwa wazazi, ingekua anakaa kwa siku chache kama mbili hivi isingekuwa shida. Atakaa zaidi ya mwezi na juu ya hapo hata nauli ya kujia na kurudia zote hana na hali huko kwao ana mke.

Kaanza kulalamika kuwa hatutaki atutembelee.

Naombeni mawazo la kufanya au kumwambia.
 
Jamii yetu ina tatizo kubwa mno kama hata mambo madogo kama haya yanatusumbua kuyaamua bila kuomba ushauri.
 
hahahahahahahah..pole mkuu japo hauja someka...MM watu walitegemea kingine zaidi ya hicho.
 
Sasa wote mnaishi kwa wazazi anategemea wewe hela utoe wapi? Uibe?

Na si umwambie tu huna kitu?
Halafu akija anafikia wapi? Kwa wazazi?
Mkewe atamwachsje?
Nauli y kuonfokea je?
Atakaa muda gani?
 
jinsi ya kuclear this issue na urafiki wetu ubaki pale pale mana jamaa analalamika sana eti nabana kuja home. Ungekua we ungempa jibu gani?

si umwambie. Unaishi na wazazi? Hiyo nyumba jibya baba yako na mama yako wewe huna mamlaka ya kukaribisha wageni bila idhini na hali sio nzuri kwa sasa
 
si umwambie. Unaishi na wazazi? Hiyo nyumba jibya baba yako na mama yako wewe huna mamlaka ya kukaribisha wageni bila idhini na hali sio nzuri kwa sasa
poa,na ushkaji mwngne lawama sana!
 
hahahahahahahah..pole mkuu japo hauja someka...mm watu walitegemea kingine zaidi ya hicho.

thanks mkuu. Sema natumia hii tecno ya kariakoo inatuma maneno machache ndo mana nimepost c!
 
Itabidi founder wa jf waje na software yenye majibu ready made kwa topic kama hizi! Maana huu sijui ni utoto au u.jinga!!

Sasa kama pamoja na kumaliza o-level huna maamuzi ya kitu cha kipu.uzi kama hicho, utamlaumu Ndalichako!?
 
Mwambie akafikie kwa huyo aliyempa dili. Naona anataka kukimbia majukumu ya familia huyo. Alidhani kuoa ni kungonoka tu!
 
Mwambie akafikie kwa mtendaji wa kata.
 
Back
Top Bottom