Old Skuli
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 690
- 178
Last edited by a moderator:
Sijaelewa hata!!!!
Mimi NIPO KWENYE MGOMO USIOJULIKANA MUDA wa kupost! Watu waliona wivu nimewaachia wapost wao nashangaaaaaa!!!! So mimi niweke kundi la ZILIPENDWA!
tatizo lara 1 mgomo wako unautangaza sana.yaani tangu mods akuzingue hadi leo?Mimi NIPO KWENYE MGOMO USIOJULIKANA MUDA wa kupost! Watu waliona wivu nimewaachia wapost wao nashangaaaaaa!!!! So mimi niweke kundi la ZILIPENDWA!
Mimi NIPO KWENYE MGOMO USIOJULIKANA MUDA wa kupost! Watu waliona wivu nimewaachia wapost wao nashangaaaaaa!!!! So mimi niweke kundi la ZILIPENDWA!
Usiache bana,nlkuwa shabiki wa post zako japo kimtazamo katika contents zake tulikuwa tukipishana.
Nasubiri kukuona tena...
Afadhali tutapumua sasa.
Tangia lini Mgonjwa anakataa dokta asimwandikie prescription ya ugonjwa wake kisa anahara anahisi anamchelewesha?
Sio kupumua tu MTAHARA kabisaaaa! LOL! Si ndo mliokuwa mnalitak!a! HAYA BABA UWANJA WENU HUO! Najiweka pembeni kuepusha msongamano!
dont mind them Lara 1 lete mambo..........its you own perspective so far kama mtu akimind asiache alama kwa thread yakoMimi NIPO KWENYE MGOMO USIOJULIKANA MUDA wa kupost! Watu waliona wivu nimewaachia wapost wao nashangaaaaaa!!!! So mimi niweke kundi la ZILIPENDWA!