mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,513
- 10,404
Jamani msinishangae kwa ninachotaka kusema!!!!
Eti wakaka wenzangu, hasa mliooa na kuwa na mdada/wadada walioolewa, Je, ktka maisha yako ulishawahi kupata hasira kutokana na jinsi shemeji yako anavyom-treat vibaya dada yako hadi ukafikia kuwaza visivyowezekana? Kwa mfano, mimi kuna wakati nashikwaga na hasira nikifikiria jinsi ninavyompenda mke wangu, ninavyomheshimu, ninavyomjali, ninavyomtunza halafu kumbe shemeji yangu hafanyi hivyo kwa dada yangu, yaani mpaka kuna wakati naendaga kwenye extreme, eti unakuta nawaza, si bora ingekuwa inawezekana kumuoa dada yangu ili aweze kuishi kwa raha kama ninavyom-treat vizuri huyu mke wangu? you know such kind of feeling!
Hebu jamani wakaka nipeni uzoefu wetu kama mlisha-experience hii situation, usikute mwenzio nina pepo nahitaji maombezi ila mwenyewe tu sijielewi, ahaaaaa! Wadada pia karibuni kwa mchango pengine umesikia, umesoma, umeshuhudia somewhere etc