Time Bandit
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 615
- 321
Wanaume wamekuwa waongo kweli.Unadhani ni bahati mbaya?Hapana!....Wanawake wanasabisha yote haya:
Kwa nini wanaume wamekuwa waongo sana?Sababu zipo kadhaa!
1;Wanawake wamekuwa na matarajio ya juu mno...wengi wanapenda mwanaume mwenye kipato kikubwa,kazi nzuri na gari la maana.Wanaume wenye vitu vyote hivyo ni wangapi ambao hawako kwenye mahusiano tayari?The chances are almost 0%.Kuna mada inaendlea humu....mtu katongozwa kwa kiingereza wee..akajua kapata mtu mzito...kumbe jamaa ni mwalimu.Mdada naona kakata tamaa na naona kamtosa mshikaji.Next time mwalimu huyo huyo atajifanya naibu mkurugenzi bodi ya utalii...mdada ataingia kingi...na ataliwa....after that mwalimu atasepa baada ya kula tunda.
2;Wanawake wanapenda vitu zaidi kuliko utu:Hili ni tatizo...na wanaume wanajua.Ili umpate mtoto mzuri...mdanganye kwa vitu kwanza!Kaazime sii Vogue tu..hata pamba kali kwa mshikaji.....u-matirialistic huu umefanya walaji(wanaume waje na mbinu mbadala)Uongoo
3;Uafrika umetuzidi....wanawake wengi wa kiafrika wanapenda sana kupewa tu..hata kama wana fedha...sio watowaji.Hili linawapa wanaume presha ya hali ya juu....kuwa watoaji kwenye kila jambo...mwishowe...ni kutoa ahadi za uongo uliopitiliza
4;Kutokuangalia uhalisia wa mambo......maisha ni magumu na kila mtu anajua hilo.Ila kwa wenzetu,logic yao ni moja...'mwanaume anaweza kila kila kitu'....utakuta mtu anamuomba boyfriend amnunulie gari la kuendea kazini au kiwanja bad enough utakuta wote wanalingana kipato!...kha?mwishowe uongo unaofanana na ukweli unatungwa.
Kwa sababu hizo na zingine kadhaa,wanaaume watazidi kuwa waongo kwa wanawake milele daima.