Mambo ya ndembendembe hayo, km huna familia unakaribishwa.
Mambo ya ndembendembe hayo, km huna familia unakaribishwa.
mbona walio na familia wamekatazwa kuja
Cjaelewa!!
mbona walio na familia wamekatazwa kuja
Nadhani haukupaswa kuelewa. Walengwa 'tumeelewa' lol. Nyani Ngabu unipitie plz
Ila na wewe usivae kama sista wa kikatoliki. Itabidi utokelezee kama mbebs wa ukwee mbebs mkareez kuliko wote bongo nzima
Hahahah lolSorry, Yesu atarudi lini?
nakuja ngoja nikabadili nguo!!