KUTONGOZA ni professional? kwa nini isisomewe?

KUTONGOZA ni professional? kwa nini isisomewe?

MOORIINGEE

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
381
Reaction score
190
wanaume wamekuwa wakizidiana kwenye maujuzi ya kutonzonga, wapo domo zege na wapo wenye maneno akiongea huchomoki! sasa najiuliza hii ni sayansi au sanaa? itafaa zaidi kama wahadhiri wa vyuo wakafanya utafiti wa mitaala yake ili ukienda UDOM unaweza kufanya kama option au elective hapo vp? kwa kufanya mazoezi wanafunzi wanaweza kufanya practical hapo hapo chuoni mnasemaje? UJINGA SAA YA KWENDA SIYO KURUDI
 
Mimi huwa nikisomea kitu lazima niajiriwe.. Sasa wapi kuna kampuni ya kutongoza..!? kama ipo nambie fasta ..
 
Ivi madomo zege kibwena na bado hakuna bikra!
Afu kila mtu ajue kutongoza si mtatuharibia vitoto vyetu under 7 years!
 
Back
Top Bottom