Ni zaidi ya miaka mitatu sasa tangu nifukuzwe kazi kwenye shirika la umeme Tanzania(TANESSCO) sina furaha kabisa maishan mwangu... mwanangu ZULFA ni mgonjwa na tiba yake inahitaji mamilion ya...
Si utani natafuta mchumba ambae ni mfanyakazi katika sekta yoyote ya umma niko siliazi tafadhali nipigie namba hii. 0764556760. piga sasa usije kusahau. awe mkristo.
Ngugu wana jf
habari za muda huu.
nina story nayo iko hivi
nina rafiki yangu ambaye ameoa na mke wake yuko likizo ya uzazi baada ya kujifungua a new baby na huko mkoa mwingine na mahali jamaa...
hili tatizo sanasana liko kwa baadhi ya wanaume!utakuta katoka kuangalia mpira afu amefungwa anakuja amenuna,ana stress zake kibao na humo ndani hapakaliki hasira zote zinaishia kwa wake/wapenzi...
Sometimes am lonely ila nashinda hiyo hali coz naishi na Barmaid amenifanya nimsahau wife yuko perfect ktk huduma zote tofauti na X wangu wanaume tujipe moyo wala tusipanic devorce inapotokea
Habari,
Mimi ni kijana wa kiume, nina umri miaka 30, Nina shahada ya kwanza, Nimeajiriwa (4 yrs now of experience) na nina kipato cha kawaida sana. Natafuta mchumba wa kumuoa ili siku moja awe...
we are expecting a new comer early next month,we wish to welcome interested individuals to help us come up with a name of our baby,we dont know its gender yet,we want it to be a surprise....
BTW...
Jamani msiwashangae vidume wakipiga kelele za maumivu ya kuchunwa, ni halali kwao kupiga kelele huku wakiendelea kuchunwa. Utakuta mwanamume anajigamba hapa JF eti amechoka kuchunwa na hayupo...
Heshima kwenu wanajamvi.
Umri wangu unakaribia 30. Nina mpenzi ambae tulipanga tufunge ndoa siku za karibuni. Ajabu ni kwamba sasa hivi anataka nimzalie mtoto ndoa 'itakuja tu'! Napata...
Naomba nirudishe tena hili swali:
Tutawezaje kukomesha hii tabia?
Je, ni watoto wangapi wamepoteza maisha yao bila kujulikana?
Ukweli ni kwamba kama kila mtupaji wa hawa watoto angekuwa...
Rafiki yangu Porokondo wikiendi hii amenihadithia kisa kilichomkumba miaka mitatu iliyopita nami nikaona ni vyema niwawekee hapa.
Porokondo ni kijana mtanashati na japo sasa umri umesogea...
Hivi wapendwa ubonge ni uzembe?Hebu nipe fact ya hii ishu?Maana watu hupenda kutumia haka kamsemo kuwa ubonge ni uzembe!Je?Ubonge unauhusiana vp na uzembe?Then niambie toka umeanza kusoma darasan...
Yawezekana umepita katika hali ngumu ya maisha, kiasi kwamba umetamani usingekuwepo au upotee urudi mambo yakiwa safi, wakati mwingine umejuta na kusema laiti kama nisingezaliwa labda kwa vile...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni!
Mkuu wa Shule moja hapa Bukoba amelizwa, alikuwa na mchumba wake ambae ni yatima akamsomesha kuanzia form 1-4 akabahatika kupata Division 3-ya 25...
Wadau wengi wa JF ni waathirika pia na ndio maana linapokuja suala hilo wengi wanakuwa wakali.
Kuolewa/kuoa ukiwa na Bikira ndiyo mpango wa Mungu bali kuoa/kuolewa bila kuwa nayo ni mpango wa...