Bonge nyanya

Bonge nyanya

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Hivi wapendwa ubonge ni uzembe?Hebu nipe fact ya hii ishu?Maana watu hupenda kutumia haka kamsemo kuwa ubonge ni uzembe!Je?Ubonge unauhusiana vp na uzembe?Then niambie toka umeanza kusoma darasan kwenu kuna bonge aliyewah kuongoza darasa?Mimi binafs sijawah kuona,xo napata utata ubonge unaweza adhiri uwezo wa akili.Hebu tupieni facts hapa kama ww ni Bonge au mpenz wako ni bonge na uzembe wake uko wap????
 
Back
Top Bottom