Yaani kadada kamemset mzee (uncle wake wife) mpaka amekuwa kama zezeta. Picha kamili ipo hivi. Huyu ni mzee wa heshima kabisa, ni bosi wa taasisi moja nyeti hapa Dar. Siku moja hivi kama mwaka...
Habari ya wakati huu. Nimeleta mrejesho kwa kipindi ambacho nimekuwa na uhitaji wa mwenza na nikaposti humu. Lakini waliokuja pm ni wababa waume za watu na wengine wanakuja for funny tu, wakihisi...
Mapenzi ni raha sana ukimpata mtu anayekurudishia energy ile ile unayompa wote mnapendana kwa asilimia sawa 50/50 ,
Ukiona wewe kila siku ndio unamtafuta mwenzako au unaonesha kujali sana...
Ndugu zangu mbali nanyoote ila hakikisha una mpenzi anaekupenda na wewe unampenda kiufupi mpendane kweli kweli maisha yanakuwa rahisi na matamu yenye furaha ukiwa na mwenza mnaeendanda, furaha ya...
Mabadiliko!
Kwetu wadada ati mwanaume akikufanyia nini utaamini kakupenda kweli na utamwamini at least 50%?!
Kwa wanaume, ukimfanyia nini mwanamke wako basi ajue kweli umempenda, coz kuna vitu...
Asikutushe mtu hapa mjini, majimama yanaraha zao jamani yaani ukilipatia vizuri kuligegeda hapo ndio unakua umelimaliza kabisa!
Nimeliotea jimama flani hapa mjini mwezi umepita sasa, yaani nitake...
wana JF, Habari.
Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi...
Embu tuambie ni kitu gani kilikutokea au likifanya kwenye mahusihano au ulikutana nacho na ukakifanya end of the day ukajiona mpumbavu baada ya akili yako kuwa sawa
The bar was so low tell us
Wakuu,
Kila mtaa kuna mwanamke au mdada ambaye anaaminika kuwa ni mzuri na ni vigumu kumpata kiurahisi
Unaweza kujitosa kumtongoza unaambulia matusi na kudharirishwa. Nimegundua hili kwani mtaani...
Wana jukwaa jumapili njema
Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?
Nimepata kuwauliza wadada...
Wanabodi,
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 1yrs sasa na tuna mtoto mmoja.
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake. Ni mwanamke mwenye vission...
.
Wanaume wenzangu
Mke wako anawezaje kuonekana mbichi na mrembo kama mchepuko wako huyo na wakati umemzalisha watoto na amejifungua mara 5,Umempeleka leba (labour) mara 5 amenyonyesha kwa...
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi mojawapo ambayo naomba sana dada zangu mzingatie, msilazimishe kupigwa. Please please nawaomba ile tabia ya "nipige kama wewe mwanaume kweli" si kauli nzuri. Ila...
Mimi nimekuwa mlevi wa kutupwa wa wanawake wenye makalio makubwa, hata nikiingia sehemu yoyote nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa huwa nahisi kama nataka kuchanganyikiwa kwa wakati huo [emoji23]
Hili linawezekana kuonekana suala la ajabu ila ndyo uhalisia.Mwanaume mwenye mwanamke au wanawake pembeni hupendwa Sana.
Natolea Baadhi ya mifano
1 Ukiwa huna mpenzi kama mwanaume alafu ukamtaka...
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full...
Sijui jinsi ya kuweka poll hapa, hope mods will do the needful.
Naomba tu kujua wangapi humu kama wako kwenye ndoa na kwa umri wa ndoa zao wameshaengage in sexual activities na watu tofauti na...
Mi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu.
Ni Mwezi 1 tangu huu mkasa kunipata.
Nilisafiri kibiashara na niliaga kuwa sitarudi kwa siku tatu mbele (nikawaida yangu ninapokuwa na...
Mwaka 2022 ni mwaka ambalo nilipoteza kazi biashara na uchumi kuwa chini sana. Tulikubaliana na wife ku-join moja ya kanisa kubwa lene matawi kote nchini. Nilianza kuona dalili mbaya kwa mchungaji...