smileagain
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 585
- 631
Mabadiliko!
Kwetu wadada ati mwanaume akikufanyia nini utaamini kakupenda kweli na utamwamini at least 50%?!
Kwa wanaume, ukimfanyia nini mwanamke wako basi ajue kweli umempenda, coz kuna vitu waweza mfanyie mpenzi wako yoyote tu.
But i need to know vile vitu so special yani unafanya kwa yule tu uliyempenda kwa dhati na una future nae!
Karibuni.