natafuta mwanamke

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,819
2,000
awe mtu mzima kuanzia 35+
awe ana interest za business
awe anajitambua
asiwe bwakubwaku
awe ana uwezo wa kuzungumza hadharani,kuhutubia n.k.
awe na uwezo wa kusafiri ndani na nje ya nchi
awe anajua uchungu wa mwana
awe anamudu hali zote za maisha
asiwe na aibu ktk utaftaji mfano.shughuli kama ma ntilie n.k
awe na uwezo wa kukaa mazingira tofauti mfano kijijini na ajue kutumia jiko la kuni.
asiwe sista duu
awe na driving licence( si lazima)
ajue kuna kupata na kukosa
awe mcha mungu

Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
250
Mm Mnanikera Na Vigezo Vyenu Utafikiri Hao Mabinti Ni Malaika! Na Nyie Mkoje? Au Mnapenda Tu Wema Na Nyie Si Wema!
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,817
2,000
Mm Mnanikera Na Vigezo Vyenu Utafikiri Hao Mabinti Ni Malaika! Na Nyie Mkoje? Au Mnapenda Tu Wema Na Nyie Si Wema!

Hajasema kama yeye ni mwanaume.... Usisaha Uliberali umeingia kwa Kasi Bongo.
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Mm Mnanikera Na Vigezo Vyenu Utafikiri Hao Mabinti Ni Malaika! Na Nyie Mkoje? Au Mnapenda Tu Wema Na Nyie Si Wema!
Jamani si mke mwema anatoka kwa mungu na siku zote kwenye wema lazima mwanamke anaongelewa ndo maana hata wafuta wachumba wanataka hao wema
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
10,391
2,000
Mm Mnanikera Na Vigezo Vyenu Utafikiri Hao Mabinti Ni Malaika! Na Nyie Mkoje? Au Mnapenda Tu Wema Na Nyie Si Wema!

hahaha hapa mie napendaga sana wanawake wanapo lawama kuhusu wanaume kutaka bikra lol
 
Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,329
1,500
Mm Mnanikera Na Vigezo Vyenu Utafikiri Hao Mabinti Ni Malaika! Na Nyie Mkoje? Au Mnapenda Tu Wema Na Nyie Si Wema!

si kwamba inakuwa ni kwazo ila kila mwanadamu anakigezo fulani ambacho kinamfanya ajisikie huru na mwenye furaha. Mfano wewe kama unapenda mwanaume mwenye kitambi ni ngumu sana kukaa kwenye mahusiano yenye furaha na mtu mwembamba. Mimi nikependa kula makande huwezi kunilazimisha nile matoke. Ni swala la vigezo na masharti kuzingatiwa. Au mbona hukasiriki wanaotaja vigezo vya wafanyakazi wanaohitajika?

Au na huyu naye ni mwanaume?https://www.jamiiforums.com/love-connect/554569-natafuta-rafiki-wa-kiume-ambaye-badae-atakuwa-mchumba-na-hatimae-niolewe-naye-2.html#post8266367
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,779
2,000
Eti awe najua kupikia kuni! Mi ntakuja na kajiko kangu ka mchina.

Afu bwakubwaku ndo nini inamaanisha?
 
Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
250
Jamani si mke mwema anatoka kwa mungu na siku zote kwenye wema lazima mwanamke anaongelewa ndo maana hata wafuta wachumba wanataka hao wema

wengine majambaz tu, lakn wanatafuta wake wema, kwani hao wake hawapendi waume wema?
 
Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
250
hahaha hapa mie napendaga sana wanawake wanapo lawama kuhusu wanaume kutaka bikra lol

eeh! nyie mnapenda binti ambaye hajaguswa, wakati huo wewe una msululu wa mabinti ka foleni ya magar kariakoo! loh!
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
10,391
2,000
eeh! nyie mnapenda binti ambaye hajaguswa, wakati huo wewe una msululu wa mabinti ka foleni ya magar kariakoo! loh!

hahaha mie mbona sijagusa binti wa mtu...ila tukiwatmkia hivyo mnasema ooh jamaa atashindwa kuniridhisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom