Alinipa sababu zote za kunifanya nimpende na nilimpenda kwa kwel tatizo likaanza baada ya kuingia kwenye mahusiano kumbe alikua na mwanamke mwingine aliempenda zaid baada ya kugundua hilo niliumia sana kwa kua nilimpenda niliamua kuvumilia huyo Dada yy alikua mkoa mwngne ila wakawa wanawasiliana kawaida ilikua inaniuma sana nilikua nalia siku nikapungua name uzito kwa mawazo uvumilivu ulinishinda niliamua kumwambia yule mwanamke wake km jamaa ana m2 mwingne huku (cunajua tena wanawake 2livyo)alinijibu endelea nae cna mda nae jamaa alipogundua alikasirika kwa nilichokifanya akawa hapokei cm yangu basi mile hoi na presha juu nikaapogise yakaisha cku kadhaa akapata safar ya kikazii njee ya mkoa nilikua najua km atarud cku gan cku iyo kumbe ilikua cku ya majanga yule mwanamke alinipgia cmu nipo na bwana ako I fainted ki ukwel baada ya hapo ckutaka tena kuwacliana nae ila nnachojua aligundua yule alijifanya anampenda sana hakua mwaminifu kwake ana wanaume zaidi yak thaman yangu anaiona baada ya kutendwa ucku mchana anapga cm text inbox full anaomba kumake up 4the bad things alizofanya I can't stand him kwa kweli