Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Duuu npo zangu bank flni hvi hapa moro twn 2mekaa kwenye viti natupia jicho pemben jamaa anachake porno bila hata aibu ni mtu mzima falni n pemben yupo na mwanake w kike. Dahh hi ni aibu kabisa
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari wakuu, naliona tangazo la airtel mimi ni bingwa, kuna sehemu wanaume wamejipanga uku wameshika sehemu nyeti sijui kuzuia goli lisiingie au liingie, sielewi. Halafu si mara ya kwanza kuona...
1 Reactions
70 Replies
8K Views
  • Closed
Wife material ni mwanamke wa aina gani niambien kaka zang
1 Reactions
93 Replies
7K Views
Katika tathimini yangu nimeona kundi la wanawake ndio linaloongoza zaidi kutoka inje, ukilinganisha na wanaume,mfano utakuta mwanamke mmoja anawanaume zaidi ya wanne tena wa kudumu kwa wakati...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana jf nimefurahi kuona wengi walikuwa makini kuwataja watu na kwa upande mwingine hongereni kwa kusaidia kubadilisha tabia za watu...ila nafikiri tuangalie wenyewe kwanza mwenye uhakika ajawahi...
0 Reactions
107 Replies
17K Views
Members wote! Naomba kila member aeleze story kwa kadri atakavyofeel aeleze mchakato/jinsi alivyompata mwenza wake! Inaweza ikawa sasa hv bado upo nae, au mmeshaachana kila mtu na maisha yake...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Kupitia JF hapa Nimemupata mudada mustaarabu na mcheshi sana, ana chat vizuri sana i like her. Nimejiandaa kuwa namupa pesa na zawadi. Simutaji maana naogopa mutu mutamukwiba!!
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Wana MMU naomba niendelee kuwaambia mambo magumu yanayoendelea katika maisha yangu. Nimekuja ofisini ila sina kazi nyingi leo, Hivyo nimejikuta nawaza sana juu ya mambo yaliyonitokea... Kama...
4 Reactions
251 Replies
28K Views
Wahenga walisema hivi "Ukioa mwanamke ambaye siyo BIKRA, tambua ya kuwa umeazima mke wa mtu. Jikaze! maana huna tofauti na mfuga NYOKA kwani ipo siku atakumbuka kurudi polini hata kama atakuwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
wanajanv habar zenu, kitaan kwetu kuna mrembo mmoja amemaliza form 4 kutoka shule ya feza girls iliyoo kawe, kwa muda wote alikuwa bording,so amekuja kumsalimia mjomba wake huku kwetu tegeta...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Salaam wadau,majuzi nilikuwa mkoa likizo,nilienda pamoja na familia yangu(yaani wyf na watoto),tulikwenda kwetu then tukapita kwao na waifu kusalimia siku mbili kabla kurudi mjini. Kwa kuwa baba...
4 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari zenu wana JF........ Ni siku nyingine tena bwana amefanya,leo ni kumbukumbu ya siku yangu yakuzaliwa. Nilizaliwa tarehe kama ya leo na mwezi wa leo siku ya jumapili,alfajiri...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Wakati mwingine watu husema kua , ili mtu atulie kwenye ndoa yake anatakiwa awe alishakua na wanaume/ wanawake kadhaa huko nyuma, kwa maana ya kwamba anakuwa ameshapitia...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
napata wazo kwamba wanaume wengi miaka hii huoa wanawake malaya?.nafikiri mwanamke malaya ni yule ambae ametembea nje ya ndoa au kabla ya ndoa. siku hizi mtu unaoa mwanamke ana maex watatu ,saba...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukiangalia asilimia - wenye sura kama hizi ndio wanaolewa kwa wingi. Common features - Tiny, Warefu, sassy, Wembamba, Sura ndefu, Unywele huu. Matokeo yake ni kwamba baada ya miaka 15 nchi...
0 Reactions
58 Replies
17K Views
Alie na umri wowote.. dini yoyote antafute.. joseshayo@gmail.com na whatsapp +255659455301.
0 Reactions
0 Replies
806 Views
mie nimeolewa. 7 years ago nliolewa na miaka 17 nimepitia mengi magumu na nimepiga hatua na mume wangu, Kinachonipa faraja daily ni pale kababy kangu ka 4 year kananigongea asubuhi "mama me...
11 Reactions
77 Replies
7K Views
Naomben ushaur wana MMU...kuna kaka nilisoma nae shule moja yeye alikuwa a-level mim nipo o-level..hakuwai kuonesha dalili ya kunipenda kabisa wala hatukuzoeana...sasa nikaja kumeet nae...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Ndugu wadau naomba ushauri, kuhusu mpenzi wangu huyu nina miaka zaidi ya miwili bila ya kufanya mapenzi. Amekuwa akiniahidi kutana naye kimapenzi mara kwa mara, lakini unapofika muda wa kukutana...
0 Reactions
73 Replies
19K Views
NI USHAURI TU.....!!! "ukiona upo katika mahusiano yanayokufanya ulie kila siku jiulize huyo uliye nae ni MPENZI au BOMU LA MACHOZI? fikiria,acha kulia,chukua hatua OVER!!!!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…