Happy Birthday miss strong

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Habari zenu wana JF........
Ni siku nyingine tena bwana amefanya,leo ni kumbukumbu ya siku yangu yakuzaliwa.
Nilizaliwa tarehe kama ya leo na mwezi wa leo siku ya jumapili,alfajiri.

Namshukuru mama kwa uaminifu wake wakunitunza nikiwa tumboni mpaka kuzaliwa kwangu.

Shukrani pia kwa baba maana bila yeye nisingekuwepo.

Namshukuru Mungu kwa afya njema aliyonikirimia......nasema asante kwani ni msingi wa kila jambo.

Mbarikiwe wana jf!!!!
 
happy b/day Bi dada Mungu akuzidishie maisha marefu na strong kama jina lako!
 
Long live and be more strong than now and yesterday, May Alah protect You
 
Na ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa kumpa mama nguvu na ustahimilivu katika kipindi chote cha miezi tisa ukiwa tumboni..
Sifa za kipekee apewe mama kwa kuwepa kwa kuongeza uhai duniani na kuweka usister do pembeni wakati uki-pupuu..

Zaid nimpigie saluti baba mzaa chema kwa kumpet pet maam kwa kipind chote where by upendo huo ulikuwa transformed kuja kwako kupitia care ya mama...Ni imani yangu kwamba Mungu atakujaalia miaka miiiiiingi ili uwe balozi mwema kutimiza lengo lililokuleta hapa duniani....
 
nlikuwa najiuliza siri ya urembo wako nn, kumbe ulifinyangwa jumapili!!! Heri ya sku ya kuzaliwa miss strong uishi milele
 
Last edited by a moderator:
Kwa tafsiri yangu ya mwaka mpya,kwa wewe leo ndo mwaka mpya....hongera kwa kuanza mwaka mpya..
 
Aishi milelel?????....

Hebu acheni kutoa wishes feki bana!

nlikuwa najiuliza siri ya urembo wako nn, kumbe ulifinyangwa jumapili!!! Heri ya sku ya kuzaliwa miss strong uishi milele
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom