Huu ndiyo ukweli wenyewe halisi

Huu ndiyo ukweli wenyewe halisi

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Wahenga walisema hivi "Ukioa mwanamke ambaye siyo BIKRA, tambua ya kuwa umeazima mke wa mtu. Jikaze! maana huna tofauti na mfuga NYOKA kwani ipo siku atakumbuka kurudi polini hata kama atakuwa analala kwenye godoro.

TAFAKARI.
 
Na vipi kama mwanaume mmoja amewatoa bikira wanawake kama watano?
 
hii haina ukweli wowote ni mawazo yako tu, mimi binafsi nimeshabikiri kama wasichana 4 hivi hadi sasa na naishi na mmoja tu hao 3 hawajawahi kunisumbuwa hata siku 1. maisha yangekuwa hivyo kama unavyotaka kutuaminisha sijuwi ingekuwaje
 
ni mawazo potofu kumtoa dem bikra si suluhisho la kuoana au kuwana mahusiano nae yakudumu
 
Wahenga walisema hivi "Ukioa mwanamke ambaye siyo BIKRA, tambua ya kuwa umeazima mke wa mtu. Jikaze! maana huna tofauti na mfuga NYOKA kwani ipo siku atakumbuka kurudi polini hata kama atakuwa analala kwenye godoro.

TAFAKARI.

Ukweli mchungu huu ,,,,!!!!!!!!!
 
hii haina ukweli wowote ni mawazo yako tu, mimi binafsi nimeshabikiri kama wasichana 4 hivi hadi sasa na naishi na mmoja tu hao 3 hawajawahi kunisumbuwa hata siku 1. maisha yangekuwa hivyo kama unavyotaka kutuaminisha sijuwi ingekuwaje

Soma mada uelewe!!!!!!!!!
 
Picha tafadhali ili tuamini unachosema
 
Yaliyo semwa na wahenga ni mengi sana sio kila li lilosemwa lina ukweli ndani yake kuna mingine ni misemo ya kujifurahisha.

Nani amesema kila lililosemwa lina ukweli?
 
mapenzi ni MAELEWANO tu.. hayo mambo ya bikra ni mbwembwe tu kwani wangapi wana bikra zao na wanaingia kwa mahusiano na kuwa umiza kichwa? tusikariri jamani.....
 
hapa namkumbuka suma lee kipindi kileee..."wengi wameolewa na machenza, ndoa zao wameshndwa kuzitunza....." mkuu ukiruka njia ni tabia tu.
 
kinatoa msisitizo kukanusha hoja, ukifundisha bila mfano unakuwa umefundisha nusu na hiyo ni real example.

Msisitizo gani wa kusema ambacho mtoa mada hakukisema?
Aina gani hii ya ufundishaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom