Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Demu wa kibongo, single, miaka 20 hadi 35. Uwe Marekani. Dini hajalishi. Ni pm.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nina miaka 23, niko mwaka wa kwanza wa stashahada ya ualimu, natafuta mchumba mwenye umri chini ya miaka 22 ambaye hajali uwezo na kipato cha mtu. Sibagui rangi ya ngozi whether albino or not...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
kwa watoto wa kike wao hukimbilia kusema 'eti uliukuwa hunipendi ila nia yako ulikuwa unataka kunichezea tu'mara tu pale anapoachwa na bwana ake!!je kwa wanaume walioachwa na wapenz wao hukumbilia...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
KAKA: Sweety mambo? MDADA: Poa asante MKAKA: Samahani dada, mimi ni kijana ambaye nimekuwa nikikufuatilia kwamuda sasa, na nimegundua wewe ni mtu ambaye ningependa uwe mke wanguniishi nawe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sina mazoea nae lakini kilicho tokea mpaka leo siamini,ni mdada mtu mzima tukiwa na mazoea ya stori za apa na pale siku moja ilitokea akiwa anarudi kazini nikamwomba nimsindikize hadi kwake bila...
4 Reactions
191 Replies
21K Views
Jaman natafta mchumba aliye somea ICT aje anisaidie kurun biznes yng ya cyber cafe!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Afya za watanzania wengi zimeimarika zaidi au zinazorota? Maana katika miaka ya karibuni nashuhudia kuongezeka kwa jamii ya watu wenye miili mikubwa yaani tipwatipwa. Sijui kwanini nimeona hali...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
~1st SCENE JAMAA.''Mb0na unajikuna xana kichwan beb!?'' KABINTI. ''Beb nywele zinawasha kwel'' JAMAA. ''Inabid uende salun ukazioshe'' uku anatoa wallet mfuk0ni. KABINTI. ''Oooh beb ahsante''...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Nilikuwa nikisoma jarida moja linkielezea ni vipi mwnamake anaweza kutunza matiti yake yasianguke nikaona ni bora wadau wapitie kipengele hicho na kunagaila ni vipi wanaweza kutunza ulimbwende...
1 Reactions
9 Replies
47K Views
Natafuta mwanamke kuanzia miaka 25 mpaka 35 awe mkristo...Kabila lolote.Mimi ni mtanzania niliyekaa nje ya nchi(Europe)kwa miaka mingi ,nimerudi nyumbani kuishi na anayehitaji anipm tutaanza na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Leo kuna swala moja ambalo naomba tusaidiane kuweka mambo sawa. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuzaa/ kuwa na mtoto/watoto kabla hatujaoa/kuolewa. Je...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Imetokea ktk Wilaya ya Same,katika Jimbo la Same Magharibi katika kijiji cha Makanya,bibi kizee mwenye umri wa miaka 90(Jina linahifadhiwa) amebakwa na watu wasiojulikana mpaka kuvunjwa kiuno...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Closed
Dah!!! Nlikuwa naiskia tu kwa jirani ila ndo ishabisha hodi kwenye boma!! Mangi bana katusua huko! Na imebid tu nijue,nshacurse sana na kuvimba ila ndo ishakuwa!somewhere kipande cha wapi sijui...
15 Reactions
308 Replies
15K Views
Hivi katika hali ya kawaida kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaambukiza wengine virusi vya Ukimwi kwa makusudi. Nini kinasababisha mtu kuamua kusambaza virusi vya Ukimwi kwa makusudi?swala la...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Smartphone imeleta kizaa zaa kwenye familia yangu. Sasa mambo mengine ya kifamilia hayaendelea. Muda wote kwenye blogs, facebook, instagram, twitter na whatsup. Yaani House girl ndo amekuwa mama...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Natafuta mchumba mungu akipenda awe mama watoto. Sifa:awe na umri kuanzia miaka 20-25,na sifa za kike za kusisimua mwanaume.mengine tutaongea wenyewe.tuwasiliane 0715444439 na sms. Serious wadada.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
je UTAFANYAJE PINDI UNAPOKUWA UMEISHA NA MWANAMKE AU MWANAUME AMBAYE UMEISHI NAYE KWA MUDA WA MIAKA 5 NA MNA WATOTO 2 NA ULIISHI NAYE KWA KUMVUMILIA SANA UTACHUKUA MAAMUZI GANI NA UMEJARIBU...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hi ni kauli ambayo mabinti weng huitamka pale mambo yanapoenda mlama,swali dogo la kujiuliza hv ktk kale #kamchezo hiv ni wao tu ndo huwa #wanaochezewa ?au huwa #tunachezeana ?mbona wanaume...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimempigia simu mpenzi wangu nikakuta yuko bize alaf akantumia text baada ya lisaa lizima eti anaomba msamaha, nikamgombeza adi akalia na mwisho wa siku nikaona kama nimekosea kumgombeza! Je hana...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
thanks God kwa kupatikana
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…