Kweli Mapenzi kiherehere sijuwi kizunguzungu! kha

Kweli Mapenzi kiherehere sijuwi kizunguzungu! kha

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
3,062
Reaction score
1,299
wema.png
Hapa sijaelewa!! does it mean she is pregoo for real for real??
aisee kweli mjini hapa! juzi nimeona clip yake aliyoipost insta ye na diamond na habari zasema wamerudiana!
kiukweli namuonea huruma yule dada mwingine! Anaweka wapi uso wake sasa..kelel zote zile na birthday ya mauaridi kitandani!!!!!!! lmfaooooo#crawlingdown#

The whole diamond n wema saga is a bs..but kwa upande wa tatu its all about love..win n loose..surival of the fittest!
Yani ningekuwa mimi Penny sijuwi ingekuweje ..i wud do something i dont knw what but atlst diamond afeel kuwa inauma regardless nilimtaka ama alinitaka!

Nawapenda wote cos ni watafutaji na wanajua kuchangamsha genge la wapenda udaku wa mastaa kama sie ila in real life;
kama wamerudiana
wema anapenda vibaya..
Diamond kama namuona anavyochekelea ye yumo tuu siwanampenda!
kwa upande wa Penny plus mashabiki ubuyu wanavyomponda she must be feeling so down.

All in all Mapenzi ya watu hayaingiliwi..ukijitia kiherehere unaangukia pua!
nimekoma kushadadia! maana Wema alivyoumbuliwa na Diamond..mkaka full kutiririka kwa Sporah !nlimchukia Diamond!

Jumapili njema wapenzi..nimepita tuu kuchangamsha genge maana stori za MMU sikuhizi watu wanacopy zeutamu sijui zeudaku basi hamuna jipya..yaleyale kaiba kaibiwa kafuma kafumaniwa anasimama hasimami basi tafrani!
OK Byeeeee
 
Hehehe she wat...shuguli,aangalie awekewe balance ya matunzo ya mtoto mapemaaa, u'single mom may step in any time t,...domo sio siri haeleweki..
 
Back
Top Bottom