Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
habari wana mmu leo katika pitapita zangu kwenye internet nimekutana na hii blog ya udaku http://www.udakuspecially.com yaani ni kwamba kilas stori ninayoisoma najikuta nimeshakutana nayo mmu,kuanzia visa vya mapenzi,maisha,ndoa n.k
kwa mfano juzi kati kuna mdada hapa kwa jina la DIKE mmu alipost kwamba anataka aache kupiga punyeto anaomba msaada acheje,nimeikuta hiyo stori huko link hii hapa chini
http://www.udakuspecially.com/2014/01/msaada-wahitajikajinsi-ya-kuacha-kupiga.html
pia JEKI alipost hawezi kumuangalia mwanamke zaidi ya mra mbili pia na yenyewe wameocpy link hii hapa chini
SIRI:MIMI HUWA SIANGALII MWANAMKE MARA MBILI
pia Eiyer alipost hakuna mwanamke mzuri zaidi ya mkeo link hii hapa chini
HAKUNA MWANAMKE MZURI ZAIDI YA MKEO
ajabu zaidi wanacopy mpk maneno na nyengine mpk picha yaani kwa kifupi jukwaa la mmu na la celebrities forum limehamia huko poor wamiliki wa blog hiyo kwenye kutafuta habari
kwa hiyo wana mmu tujue kwamba stori za maisha yetu tunazokuja kupost na kushare na friends wetu kuna watu wanafaidika nazo na kuingiza pesa kwenye blog zao tena bila ya ridhaa zetu.