Tangu nivae pete ndo nimekuwa nikipata mademu wakali zaidi na wenye heshima zao
inakuwaje baadhi ya wanndoa hawapendi kuvaa pete za ndoa miezi michache baada ya harusi,je vidole hunenepa kwa raha za ndoa so pete zinabana au ni kutaka kuendeleza libeneke mtaani bila kujulikana kama wako ndoani
Hahaha. Kuliko mtu akaivue gesti hausi afu aisahau huko, bora ampe mwenza wake akatengeneze hereni. Lol. Afu umenikumbusha kuna mkaka anaongelea mke na wanae ila hana pete, ngoja nimuulize kulikoni?
kuna jamaa hapa UDSM anasoma masters akitokea nyumbani akishafika mazingira ya chuo anaivua anaiweka mfukoni,jioni akiwa anarudi home anaivaa na anakula totozi za undergraduate kama hana akili nzima ukizingatia anakamwili kadogo wanafikiri ni mwenzao kumbe kababu na hivi wakiona kale kavitz