Jamani mshauri huyu jamaa kuhus hili jangaa analolipata

Jamani mshauri huyu jamaa kuhus hili jangaa analolipata

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
1531996_822601917754228_1042472898_n.png



MSHAURI HUYU.

Naitwa Janny,ninaishi jijini Dar es Salaam siku za hivi karibuni nimepata Mchumba ambae amepanga kunioa ili tujenge maisha na familia,lakini kuna mdada alinifuata na kuniambia kuwa sipaswi kuolewa na sitaolewa na huyo mwanaume,niliamua kumpotezea kwakujua ni mfitini tu.

Ila toka nimeanza mwaka 2014 nimeanza na matatizo kwani kuna jambo linanitokea nashindwa kujua ni kwanini?

Maana kila napokwenda kulala nikishtuka usiku najikuta nimejikojolea kitandani,wakati sikuwahi kuwa na tatizo hilo,kiukweli furaha ya maisha yangu imetoweka,nakosa raha na wala sina amani tena,naogopa kupatwa na aibu hiyo mbele ya mchumba wangu.

Naombeni ushauri wenu wadau?
 
[TABLE="width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]pole kwanza tatizo linalomsibu,
kama ni mywaji sana wa pombe, mi namshauri aache kutumia hicho kinywaji, kwa sababu mkojo unaokojoleka kwa sababu ya pombe huwa si rahisi kuzuilika na kibofu halafu huwa unatoka bila culprit kujitambua!
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
pili, matumizi ya vitu vya majimaji avipunguze mara moja pale inapofika mida ya jioni hasa saa kumi na mbili, hii itapunguza wingi wa maji katika kibofu cha mkojo, hivyo basi kibofu kitapungukiwa angalau kiasi fulani cha uzito wa maji.

tatu, ajiwekee ratiba ya kuwa anatoka nje kwa ajili ya kujisaidia haja ndogo angalau mara tatu kwa usiku mmoja, hii nadhani kwa alarm clock itakuwa bora zaidi!

tatizo lisipoisha, basi awaone madaktari kwa ushauri mzuri zaidi na matibabu!
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Huyo mdada atakuwa kakufanyizia fanya utafiti kwa nn alikwambia hupaswi kuolewa nae
 
Kama hakuwahi kua na tatizo hilo, mwambie ani PM. Huyo kesha rogwa. Spritual warefares can not be fought with physical strength.
 
Mwambie ajiunge JF kwanza ndipo tutamshauri...
 
Mkojo unaotoka ni wa kikubwa au kitoto?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom