Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama ww umeoa au unamchumba alaf shughuli zimekubana sana(upo busy) natoa huduma ya kumridhisha mkeo/mchumba wako kwa kipindi chote utakacho kuwa busy kwa gharama nafuu tu...... Wenye shida wanichek
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika tafiti zangu nimegundua kuwa kiwango cha juu cha usikivu cha wanawake ni wakati wa tendo la ndoa, katika tendo hilo mwanamke anakuwa msikivu kuliko kawaida, ukimwambia lala hivi analala...
5 Reactions
113 Replies
8K Views
Nilikua naangalia kipindi cha minbuz star tv,kulikua na mjadala kua wanawake mbeya wanapga wanaume,na vijana waliochangia hlo wakakubali kua ni kweli wanapgwa,hii imekaaje,kama ni kweli basi...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Wajameni hodi mi mgeni japo wengi nawajua kwa username zenu nimekuwa nikipitia kusoma topic mbalimbali nimenogewa na ngoma nimeona na Mimi niingie nicheze
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini uhangaike na vimada na machangu ambao daily hupitiwa na kila aina ya mitulinga mpaka ladha inapotea na usafi Mmh..!nyingine zinanuka Ya mkeo iko hm muda wote ready for u only, na...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Kuna msichana nampenda sana na nimekua nae takriban miaka 2 sasa wakati naanza nae mahusiano alikua amemaliza kidato cha 4 lakini alinikubalia kwa sharti Moja kwamba hatoshiriki tendo LA ndoa na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
wana jamvi msaada wenu tafadhal, niliwah kuwa na uhusiano na mpenzi Wangu wa kwanza alikuwa ni msafi Sana pia mkarimu. kasoro yake alikuwa ni muhuni sana! kwa ushahidi nilimfumania gesti...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
::Habari ya wakati huu waungwana, Mimi si mpenzi sana wa kuweka thread hapa MMU, lakini acha leo niwashirikishe mtazamo wangu japo kwa uchache kuhusu mahusiano kama nilivyopata kuahidi siku za...
14 Reactions
43 Replies
15K Views
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi-kusoma Degree ya Law halafu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ninavyojua Biblia inasema kijana atawaacha wazazi wake na ataambatana na mkewe nao watakua mwili mmoja,je ni wapi Biblia inasema lazma ukafunge ndoa kanisani?je km mm nimependana na...
1 Reactions
31 Replies
11K Views
  • Closed
nimetokea kumpenda msichana mmoja nasoma nae mwaka mmoja but kila nikimueleza bout hili anapenda tuwe marafiki tu jaman naomba ushauri kuhusu hili for real nampenda sana.
1 Reactions
44 Replies
5K Views
  • Closed
PIGO-Jaman npo kwenye wakat mgumu nmeachwa na mademu zangu wote wa nne ndan ya wiki 1. sijajua wameambia au mkosi tu. wa-1 anaish mbeya lakn na mm dsm juz kantumia sms kuwa na mm bac. wa 2...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Hi! wana MMU,naombeni ushauri je! ni sahihi kumuoa mwanamke ambaye si bikra? na ukizingatia mimi sijawahi kungonoka.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naitwa Sam from dar es salaam,24 miaka yang,mm ni mweupe,mrefu wa wastan halafu modal.Natafuta msichana/mpenz mweny sifa hizi.1, umri miaka 19 mpaka 23. 2,Asiwe mnene wala mwembamba size ya kat na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naitwa Sam from Dar, nina miaka 24,mrefu wa wastan,mweupe halafu modal.Natafuta mpenz umri kuanzia miaka 20 mpaka 23,Awe rangi yeyote ile mweupe,mweusi au hata mzungu kama yupo,asiwe mnene wala...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina namani siku moja moyo wangu upate kutulia, nimpate wa kunienzi maishani mwangu mimi na yeye tule kiapo, anirejeshee furaha iliyopotea kwa miaka mingi, authamani utu wangu penzi lake kwangu...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakati mwingine mtu unaona haya magubegube ya hapa town sio wife material, unakimbilia kijijini kujichagulia kigori wa kuishi nacho maisha yako yote lakini kinavyobadilika unahisi kama ulilaaniwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heruaa heruaa herua Jamani kumekua na thread nyingi za kutafuta waume,wake,wapenzi Na kadhalika Ingekua poa sana kama mkitujulisha hao watu mnaowatafuta kama mmewapataa heeeeeeeee...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Msichana wa kizungu akikutana na mvulana mtandaoni Guy: may I know a bit about you? Girl: Oh certainly, I am Samantha, I'm 26, I work as a system analyst with Dell, I am single with one adorable...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanaume wengi ambao wako serious(wasiochekacheka) hukubaliwa kirahisi na wanawake pale wanapowatokea kwa mara ya kwanza. Wanaume wa aina hii wanakuwa hawana mazoeano na watu wengi, pia ni watu...
2 Reactions
45 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…