WANAWAKE WENGI WANAOFANIKIWA KUPATA NDOA NI WALE WANAOKABIA JUU
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna Mbinu mbili za kupambana. Kuna wale wanaotumia Mbinu ya KUPAKI BASI na MBINU YA KUKABIA...
Wakuu NO REFORM........NO......👂
Binafsi Sina muda wa kubembeleza mwanamke au mshikaji ukizingua nikakutema ujue ndo imetoka hiyo hasta salamu sihitaji kabisa
Hasa wanawake nikimtongoza akazingua...
Wamasai huchomeka mkuki mlangoni mwa nyumba ya yeyote yule na kuduu na mke mtu yeyote aliyemo ndani.Wao mwanamke ni mali ya jumuiya na hutumika na wote.
Taratibu ni:
1.boy/dume la kimasai...
Redflags zangu nikijaribu kuwa karibu na mtu ninakutana nae Online:
-Akiwa mtu wa kukwepa mkutane au hataki kabisa videocall
-Hata hamjazoeana anaanza kukuomba au anataka umkopeshe hela
-Mtu...
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.
Na kupata unafuu wa Maisha, kiujumla wanawake wapo...
UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.
Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio...
Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na...
Wasalamu wakuu!
Siku hizi wanawake hasa mijini wako busy na michezo ya upatu na VICOBA au Sacco's . Sasa ikifika siku ya marejesho au Kusubmit pesa ya mchezo wanahaha kabisa mpaka wanaanza...
Kila tunapopewa tumepwaya. Sisi kuongoza si mpango wa Mungu jamani.
Kina mama tumekuwa mashetani kuanzia ngazi ya chumba, nyumba, mtaa, shina, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa. Wanaume...
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.
Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.
Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama...
Habari zenu wanajamii,
Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa...
hili suala la kuhudumiwa kwa wanawake naona limekuwa sheria kwenye mahusiano au ndoa japo kuhudumia sio jambo baya lakini naona sasa limekuwa sheria.
yani unakuta hata kwa wale wenye kazi zao...
Ugonile,
kwa Tanzania hii ukisikia mtu anaongelea kuhusu Wanaume basi jua automatically ni wanaume wa kanda ya ziwa.
Wanaume wa kanda ya ziwa wana kila sifa za uanaume, watakuja apa kuponda...
1.Ana umri miaka 36
2.mwislamu
3.Yupo Dar ni injinia
4.Anataka mwanamke mtanzania kwa ajili ya kuishi nae kwa ndoa
5.Awe na umri 25-35
6.Ajue kiingereza
Huyo bwana nimekutana nae hapa mza alikuja...
......just incase you were asked to,
taking into considerations kwamba the kitchen parties and all that are all
polluted,POLLUTED INDEED!...yes,polluted,because even the bride's family did...
Unajua watanzania Katika uhalisia watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume pekee na kuitwa "huru" wakati jina haliwezi kuifanya tume iwe huru, hii ni kama wenye mamlaka wamekwepa...
Ninaishi na mke wangu yapata miaka mitano sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja.
Kwa kipindi cha mwanzo cha mahusiano yetu tulipokuwa tunagegedana tulikuwa tunafanyiana mautundu yote ya kizungu...
UKIWA NA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA BILA HEKIMA UTAPOTEZWA UELEKEO
UKIPATA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA HII NDIO SABABU YA KESI NYINGI ZA KUSEMA KABADILIKA BAADA YA KUPATA PESA.
Wengi wanashauri...
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.
Atakaewahi atapewa kipaumbele
Tukutane PM
Siku moja baada ya kutoka kibaruani, kuna mtu aliniita Bar ya hapo jirani na ofisini kwetu nikaenda hapo tukawa tumekaa nikaagiza chakula nikawa nakula, kuna ndugu yangu akaniambia anakuja kwahiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.