Anadai ana mimba yangu ya mwezi mmoja, nifanyeje niweze kumuhudumia bila mke wangu kujua?

alubati

JF-Expert Member
May 29, 2016
5,688
12,157
Ninaishi na mke wangu yapata miaka mitano sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja.

Kwa kipindi cha mwanzo cha mahusiano yetu tulipokuwa tunagegedana tulikuwa tunafanyiana mautundu yote ya kizungu kama kulamba koni ,kupiga deki na 071 siku mojamoja ,kwakweli nilikuwa nafurahi sana.

Baada ya kupata mtoto wetu mwaka jana mwishoni ..ndipo siku moja akaniketisha na kunieleza kwamba anahisi manadiliko ya mwili wake maana hasisimuki tena ninapomchezea na mautundu kama zamani yeye kiu yake ni dudu liingie tu hata likilala humo humo sawa,lakini mambo mengine hataki kusikia tena sijui ...inama..ruka chura chura ,ingiza huku...071...

Amasema yeye sasa ni mama umefika muda wa kubadilika ma kufanya mambo yaliyokomaa hataki ujinga ujinga tena.

Nilimuelewa na kumkubalia kwa kuwa ninampenda haina shida....tatizo likaja kwamba hataki mbwembwe yeye likiingia tu anafurahi kweli mana huwa nachelewa sana.sasa mimi upande wangu sifurahii kabisa na ninamweleza kuwa bila mambo yetu yale mgegedo unakosa vitamini ,yeye hajali.

Hali hiyo ilipelekea nitafute mchepuko ili niweze kufurahia ule uchafu niliozoea nilimpata na baada ya kugundua nachopenda hakawa habakishi
... Ananipa vyoteee.

Baada ya miezi mitatu ya kuchepuka jana tukiwa faragha ananiambia mimi baba kijacho,eti ana mimba yangu ya mwezi mmoja..weeeeh,nilipagawa tukaenda kupima ni kweli anayo ya mwezi mmoja ,ikumbukwe hajui kuwa nina familia ,na anajua niko na yeye tu .

Hapa nilipo mbili haikai ,moja hakai ,mke wangu ni mkorofi sana aliwahi kunimwagia maji ya moto mgongoni akigundua hii ishu anaweza nilisha sumu nife ,nilikuwa na wazo la kumpangishia chumba mchepuko anizalie tu mtoto tulee kwa siri mana hatakataaa hata nikimueleza nina mke.

Shughuli nyingine ni kuhusu kipato changu mke wangu anakijua na akaunti yangu huikagua miamala yote na kutaka maelezo ya matumiZi yote ,sasa nikiongeza matumizi yasiyoonekana lazima nitatumbuliwa tuu!


Naombeni mbinu ya kutatua hili tatizo kwa mtazamo chanya.
Nawasilisha......
 
Nunua sumu halafu mpe mkeo acpate tabia yakununua halafu mshirikishe Ila ujue ukipona Tafuta mchepuko mwingine maana wa sasa nae atakataa mautundu yako tabia Zach chooni acha kuna tezi dime oooooooooooh shauri yako
 
Ulivyokuwa unakula kavu kavu, ulitegemea nini ? Hapo ni mimba au ugonjwa, unachoshangaa nini sasa ? Ulipanda mahindi ulitegemea kuvuna mpunga ?
 
Ulijua unamwagia kishimo ardhini?
Ukaribishe home mchepuko wako,
Baada ya chakula, mweleze mkeo kinachoendelea tena huku ukirekodi matukio.
Uje utujuze mkuu kitakachokuwa kimetokea ukitupia na tupicha.
 
Back
Top Bottom