Wanawake tumefeli kuanzia chumbani, sebuleni, nyumbani, mtaani, ibadani hadi juu kabisa kwenye kiti cha enzi mbinguni

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
2,791
8,010
Kila tunapopewa tumepwaya. Sisi kuongoza si mpango wa Mungu jamani.

Kina mama tumekuwa mashetani kuanzia ngazi ya chumba, nyumba, mtaa, shina, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa. Wanaume chocheeni moto wa maombi kwa ajili yetu. Acheni kuchochea mkongo na mawazo ya chura.

  • Chumbani na nyumbani nafasi zetu zimeporwa na kupokwa na ma pp08house maids/ girls
  • Mtaani tumepoteza heshima na thamani, tuonekana tunadànga hata tukiwa na shughuli zetu na tumeolewa.
  • Kwenye wilaya na mkoa msipime, mwanamke hautoboi bila rushwa ya ngono.
  • Huko juu sasa, eti akili zetu hadi tuwaziwe na walio tufunga minyonyoro
 
Ninachokupendea huwa unasema kweli, ngoja feminist waje kumwaga povu hapa maana wao ujanja mwingi mbele giza totoro.
 
Kila tunapopewa tumepwaya. Sisi kuongoza si mpango wa Mungu jamani.

Kina mama tumekuwa mashetani kuanzia ngazi ya chumba, nyumba, mtaa, shina, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa. Wanaume chocheeni moto wa maombi kwa ajili yetu. Acheni kuchochea mkongo na mawazo ya chura.

  • Chumbani na nyumbani nafasi zetu zimeporwa na kupokwa na ma pp08house maids/ girls
  • Mtaani tumepoteza heshima na thamani, tuonekana tunadànga hata tukiwa na shughuli zetu na tumeolewa.
  • Kwenye wilaya na mkoa msipime, mwanamke hautoboi bila rushwa ya ngono.
  • Huko juu sasa, eti akili zetu hadi tuwaziwe na walio tufunga minyonyoro
Kweli hata rafiki yenu wa karibu ni shetani
 
Back
Top Bottom