wamasai na mila ya kuchomeka mkuki ujanja wa kufaidi vya wenzao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wamasai na mila ya kuchomeka mkuki ujanja wa kufaidi vya wenzao

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Marytina, Feb 22, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wamasai huchomeka mkuki mlangoni mwa nyumba ya yeyote yule na kuduu na mke mtu yeyote aliyemo ndani.Wao mwanamke ni mali ya jumuiya na hutumika na wote.

  Taratibu ni:
  1.boy/dume la kimasai huchunguza kama mwenye mke ametoka ingalao umbali wa mita 200 (hairuhusiwi kumkuta mume mtu alafu utake kula tunda)
  2.Huchomeka mkuki mlangoni kama ishara kuwa kuna mwanaume ndani anaongeza idadi ya watoto.
  3.Mwenye mke hutakiwa kuzuga shambani au kichakani mpaka jamaa limalize shughuli.

  Wana JF hi imekaaje?mila za kwenu zipoje?
   
 2. P

  Pomole JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningekaa ndani mwaka mzima au kila ninapotoka kupiga misele mke lazima abaki ndani nachomeka nje mkuki ili wakware wajue kuna mtu ndani!!!Baasi,as simple as that
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wakware huja hata kumi na mbili asubuhi yaani hata ukipeleka ngombe malishoni kwa dakika kumi jamaa utamkuta kashachomeka.Pia wanaruhusu mashitka dhidi ya yeyote anayetumia mabavu kumzuia mkware kama alizingatia taratibu
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  :A S 13:Sasa we Marytina utawezana na hiyo mikimiki????:coffee:
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndo hapooooooooooooooooooooo, nataka nijue atakubali na huyo mchumba wake mmasai???
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  unajua sikuwa nalijua hilo mwanzoni ila sjui itakuwaje dear!ntajitangazia nina ukimwi maeneo ya huko
   
 7. M

  Matarese JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mmh labda zamani sidhani kama ipo hadi leo
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kweli hiki ni kikwazo kikubwa kuliko ingawa jamaa amekulia hapa A TOWN wanaukoo wenzie wa huko engaruka wanawazia sna
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Unapenda sana Ngono! Hebu Kumbuka sisi wenye majeraha ya Mabomu Gongo la Mboto
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hii imenikumbusha kisa cha afande mmoja pale Kijitonyama Mabatini alikuwa mmasai na mkewe mmasai,jamaa alipiga marufuku mkewe kuvaa kimasai na yeye hakuvaa kimasai hata siku moja ili kujificha.Bahati mbaya siku moja mkewe akawasemesha wamasai wenzake kwa lugha ya kwao na wale jamaa kusikia hivyo kesho yake mmoja wao akaja na mkuki wake akauacha hapo mlangoni,basi afande mmasai kurudi nyumbani anakuta mkuki mlangoni..!! We...!!! Palichimbika hapo na wala hapakutosha mpaka mkuu wa kituo akaja kuamulia kwa kumuweka ndani mgoni.....na mmasai akahamishwa kituo.
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Si umependa boga mama,vipi uchukie ua lake..??
   
 12. CPU

  CPU JF Gold Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sasa wewe unafikiria kufanyaje na ndo unaelekea kuwa mke wa mmasai?? Kila mkwere aje akubandue watoto wa3, si utazeeka siku si zako??/
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Yana sehemu yake na yanazungumziwa sana tu,ila hayahusiani na mapenzi ndio maana hayana nafasi huku..
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  where ie the relationship between hii sredi na ngono?

  Nimewapa pole mara kibao ila kwa kuwa hukuona hilo hii hapa nyingine, AGAIN POLENI SANA WAATHIRIKA WA MABOMU GONGOLAMBOTO! i hope u r now okey au nikubadilikie sasa hivi?
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hapo tu ndo napokupendea Mtakatifu big up
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Shabash, siku ya leo itanibidi niirekodi vizuri kwenye diary yangu...........maana hili ni tukio la kihistoria,,,,
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani Namtamani Baba Mkwe wangu!
  Started by Mwanamtama‎, 9th January 2011 02:05 PM

  Nakufananisha na NOT INAFU haysee. Kweli nyani haoni . . . .
   
 18. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nzi ananishangaza kupenda vinavyonuka.........!!!!!!!!!!
   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hi Michelle, nimeshachomeka mkuki hapa nje naingia kwa ajili ya chai +
   
 20. CPU

  CPU JF Gold Member

  #20
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Bado mkuki wangu . . .
   
Loading...