Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nichukue fursa hii kuwatakieni nyote wana mmu usiku mwema wale mashabiki wa arse8 oh sorry arse5 poleni wa chelsea hongereni na wa yeboyebo hongereni love u ila miss chagga nampenda zaidi
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Kila anaeachana na mpenzi wake, atasema tulipendana na tulipanga kuoana, Sio kila mahusiano yatafikia ndoa wengine wanaletwa tu mungu waje kukufunza Mapenzi na maumivu yake pamoja na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Namaanisha kama mwanamke yupo kwenye tarehe za kushika mimba, je ni ipi njia sahihi?
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Jamani huu ni ungwana kweli? Kaka yangu wa damu kampiga mimba demu ambaye tulikuwa wapenzi kwa mda mrefu tu na yeye alikuwa anafahamu kila kitu, kwani tulikuwa tunaishi pamoja na kaka yangu yeye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Jamani wife ana kibendi sasa amezidi matatizo kila siku yeye anataka maembe,limao, mahindi na chipsi ndo vyakula vyake vikuu, na hataki chakula kingine kama ugali na wali, kwenda kazi hataki...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Nikiwa kama rais wa mabachela(single) na waziri wangu mkuu tinna cute tunatangaza kuwa sisi hatutakua na valentine day kabisa,kufeli kufuata maagizo hayo utakua umejiondoa. ANGALIZO:mlio na wake...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Habarini marafiki zangu USHAURI CHANYA KWA WANAUME Leo naona marafiki zangu mtanishangaa sana kuleta mada hii hapa kwenu hii yote ni kutaka kuwapa somo lengwa kwa WANAUME ambao hawajui uzazi...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Kama Unataka NDOA YAKO Nayo ISIINGIE Kwenye ORODHA Ya NDOA ZILIZOVUNJIKA… Hakikisha Kwanza Wewe “UMEOLOEWA NA NENO LA MUNGU” Kisha Ndipo Ukamtafute Huyo Mme/ Mke Ambaye Naye “AMEOLEWA NA NENO LA...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau hivi katika kuduu unashauriwa bao mwisho ngapi? Maana kuna mwanamke jana amening'ang'ania mpaka bao tatu bado akawa anataka tena, Mimi miguu ikaanza kutetemeka ikabidi nipige la nne. Mwisho...
0 Reactions
50 Replies
22K Views
Hivi mwanaume anaweza kukaa zaidi ya miaka mitatu bila mpenzi? Tusaidianeni jamani manake mi nashangazwa na kidume ulokamilika kukaa kipindi chote hicho bila kuwa na "mtoto"...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mambo vipi wana MMU? Mara nyingi nimesikia wanawake wanalalamika kuwa waume zao wakiduu cha kwanza tuu wanalala usingizi wa kukoroma. Tatizo hili linasababishwa na mambo mengi sana na baada ya...
5 Reactions
41 Replies
7K Views
^^ Umekosea kuoa? Hilo ni swali nilomuuliza rafiki yangu kipenzi sana. Alinifuata kwa maongezi ya kawaida. Maongezi yenye upendo,furaha, amani na urafiki. Wepesi wangu wa kumjua rafiki yangu...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
pombe vipi kuhusu pombe iam so addicted nikiacha haina tatizo napia nipia nikiendelea haina taitizo ila tatizo hapa nilipo nimelewa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna ushahidi wa kisayansi kuwa ubongo wa mwanamke na mwanamme umeumbwa tofauti ndio mana :- 1. Kuna aina fulani ya shughuli au matukio mwanamke anaweza kufanya kwa ubora zaidi kuliko mwanaume, na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Watu jifunzeni "NO na "YES" Kwanini umng'ang'anie mwenzio kama hakupendi na wala hataki mahusiono na wewe?? Muwe waelewa sio kila mwanamke utakaye mfuata atakupenda,ukiambiwa stop na iwe hivyo...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Awe wa jinsia yoyote,ila si mchumba kwakua siitaji kwa sasa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenyuu wana j.f. Kichwa cha habari kinahusika. Takribani mwaka sasa umepita tangu nianze kushea maisha na huyu dada. Mimi napiga kibarua nimemaliza six. Lakini nipo 2nd yr university. Huyu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
miezi miwil iliyo picha nlikuwa stend nasubiria gari gafla ikaja gari aina ya noha ikawa inapakia town 1000 sasa nikabahatika kupata nafasi ya kuingia katika ile gari na kukaa siti zote zili jaa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…