Ngoja nikwambie siri ambayo wanawake hawazezi kuwaambiakuwa wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza.
1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la...
Dada yako anaweza akaja na rafiki yake nyumbani ukamwambia nipigie krosi huyu best yako akakubali, au hata huyo rafiki yake anaweza akamwambia dadako kuwa nampenda kaka yako niunganishie...
Habari zenu wana jf.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 30 sasa, nina mahusiano na binti mmoja na nampenda sana naye pia ananpenda. nipo naye kwenye mahusiano sasa ni mwaka na miezi miwili na nataka...
Kwa wale wenye kudhani kuwekwa kuuza sura kwenye maprofile picture, screen saver, ndo kupendwa au uko peke yako unajidanganya...af isitoshe ni utoto mtupu..
Ni majuto ni huzuni ni msiba inauma na kuumiza roho wengi imewatokea wengi inawatokea na wengi itawatokea ni wachache mno mno ambao hawajaumizwa kimapenzi. Wengi wamechukua maamuzi ya hovyo na ya...
Wakuu wa MMU shwari!
Kuna mambo mengine ni madogo lakini yanaumiza sana tena sana.
Kuna mrembo humu nimechati nae PM, tukakubaliana anipatie namba ya simu, akanisihi nimpatie yangu yeye ndo...
Wanajamvi,
Hili jambo limekaeje? Wewe ni mwanaume wa kabila ingine umeoa uchagani.
Ukweni unajulikana kama chasaka, watoto uliozaa na mkeo wa kichaga wanakuwa regarded kama watoto wa chasaka na...
Bibi harusi huyo alimsukuma mume wakiwa upenuni mwa mwamba hivyo kusababisha kifo chake. Tokana na maelezo yake ni kuwa walikwaruzana na hivyo kumsukuma kwa hasira.
Inasemekana bibi harusi huyo...
Kwa mwanamke kumpata mwanaume mwenye muafaka, yaani mwanaume ambaye ni husband material si kazi rahisi. Inaweza kuchukua miezi kama siyo miaka ya kucheza pata potea kabla ya kumpata mwanaume...
Habarini wandugu,
Kuna msichana ambye nampenda nae anajua hilo ila thamani yangu kwake ni pale anapokuwa na tatizo,atanpigia simu na kuomba anachotaka ila akiwa bila tatizo hutaona cha simu na...
Wadau mtakumbuka siku chache zilizopita nilileta hapa ombi langu la kutafuta mchumba wa kike aliye-tayari na aliye serious, sasa nasikitika kuwa hadi sasa sijampata ila kufuatia tangazo lile hiki...
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Basi bwana kitaani kwetu huku kuna kaka mmoja, mbaba mbaba flani hivi anaikimbilia 40, shule sio kivile ila biashara sasa ndo mambo yake, so yupo safi...
Hii ilimtokea baba yangu mdogo kwa sasa ni marehemu, mke wake ambaye ni askari polisi kongwa aliomba mkopo bank akaweka dhamana nyumba yao yeye na mme wake, wakati huo mme wake alikuwa...
Pamoja na kwamba tabia za kila aina zipo katika kila kundi na kabila, lakini uchunguzi wangu wa muda mrefu umenishawishi kwamba wanawake walimu ni waadilifu zaidi kulinganisha na makundi mengine...
Habari wana jamvi.
Kuna swahiba wangu amekuwa na hofu kwa kipindi kirefu sasa kuwa huenda wanawake humkimbia.
Huyu swahiba ni me na ni msafi hasa kuanzia nguo zake(sio sharobaro,just...
Nimekua kwenye mahusiano kwa miaka mitano sasa na mpenzi wangu ambae ni mpenzi wangu wakwanza;maisha yalikuwa magumu lakini tulipambana na niliamini kwamba ipo Siku mambo yatakuwa sawa tuu kwa...
Hakika mapenzi hayana kanuni.
Kwa mwenye mapenzi ya kusoma thrd ndefu karibu..
Nina best yangu (Cecil) ambaye ninamkubali sana hasa katika umakini wa maisha yake but Hebu sikiliza kisa hiki cha...
Nina mchumba wangu anasoma chuo kikuu fulani hapa mjini, nimekuwa mshauri mzuri sana katika mswala yake mbali mbali, kwa kiasi kikubwa nimekuwa nikimudu hili jukumu mambo mengi niliomshauri...