Ananijali wakati akiwa na tatizo

Ananijali wakati akiwa na tatizo

Pejokiss

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
248
Reaction score
187
Habarini wandugu,

Kuna msichana ambye nampenda nae anajua hilo ila thamani yangu kwake ni pale anapokuwa na tatizo,atanpigia simu na kuomba anachotaka ila akiwa bila tatizo hutaona cha simu na mbya zaidi tukiwa na marafki wengine anajipendekeza kwao kwa kuwakumbatia na kuwabusu hii hali akijua kuwa ananiumiza.

Tafadhali naombeni mnishauri kuhusu huyu binti mana sasa nachoka!
 
Muoe huyo Binti mkuu. Ndiyo mapenzi yalivyo...
 
A Friend in Need is a Friend Indeed....,
 
Shuleni mnaenda lini nyie? Hujui kama umefanywa atm? Jiongeze wewe.
 
Mkuu, Achana nae huyo mjasiriamali .
Proof..
Kwani wewe unaweza kwenda bombani wakati huhitaji maji?
Unaweza kwenda hotelini kama umeshiba?
point to note,
she is an entrepreneur, anatafuta masoko na kuwekeaza kila anapopata fursa. Kama huwezi kumuacha basi mtumie kama anavyotumia hela zako. Pole sana mkuu
 
Kusoma hujui hata picha jaaman huon!.......:tinfoil3:
 
mweleze wazi hufurahishwi na mwenendo wake....asikufanye wa dharula.....
 
Habarini wandugu,

Kuna msichana ambye nampenda nae anajua hilo ila thamani yangu kwake ni pale anapokuwa na tatizo,atanpigia simu na kuomba anachotaka ila akiwa bila tatizo hutaona cha simu na mbya zaidi tukiwa na marafki wengine anajipendekeza kwao kwa kuwakumbatia na kuwabusu hii hali akijua kuwa ananiumiza.

Tafadhali naombeni mnishauri kuhusu huyu binti mana sasa nachoka!

9845_641308335906864_1490712498_n.jpg
 
Kuna msichana ambye nampenda nae anajua hilo ila thamani yangu kwake ni pale anapokuwa na tatizo,atanpigia simu na kuomba anachotaka

Naomba unifahamishe, je hii ni aina gani ya kujali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom