Wanajamvi,
Hili jambo limekaeje? Wewe ni mwanaume wa kabila ingine umeoa uchagani.
Ukweni unajulikana kama chasaka, watoto uliozaa na mkeo wa kichaga wanakuwa regarded kama watoto wa chasaka na huenda wanajulikana kama minivyasaka! Ukiangalia kwa jicho la ndani hili jambo linaweza kupunguza upendo katika ndoa na huenda ikaathiri mustakabali wa ndoa.
Hao watoto waliozaliwa na chasaka wanauzito sawa na wale waliozaliwa na wazazi wote ambao ni wachaga mbele wa wakwe, wajomba na shangazi zao?
Wanajamvi wengine humu mna mtazamo gani? Hili neno chasaka si geni hapa JF na limekuwa likitoka kwenye vinywa vya wachaga humu hasa pale wanapojibu comments zinazowahusu amabazo zimetolewa na mtu asiye mchaga.
CC: Bucho