Ndoto nyevu na kuwahi kupiga bao usingizini

Ndoto nyevu na kuwahi kupiga bao usingizini

shalolizo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
336
Reaction score
203
Habarini ndugu zangu,

Naomba kuuliza kuhusu ndoto nyevu za usiku,maana nimekuwa naota nafanya mapenzi mpaka nina chafua shuka,kuna mtu niliwahi kumuuliza akaniambia eti nina jini mahaba je ni kweli?

Tatizo langu la pili ni kuwahi kupiga bao pindi nifanyapo mapenzi yani ndani ya dakika 2 kitu hicho na mbaya zaidi jana ndo nimeshangaaa maana nimepiga bao hata bila ya kuingiza uume wangu ndani ya uke wa mwanamke,NAOMBA KUJUA HAYA NI MATATIZO AMBAYO YANAHITAJI DAWA AU NI KAWAIDA TU?
 
Mke yupi uyo atakubali olewa na njemba inapizi kabla hajaingiza,

Op(original poster) huna pepo wala jini, fanya mazoezi keep yoself busy, unawaza sana ngono ndo maana unaota ota ngono na punyeto unapiga sana ww bila shaka, punguza hizo, badilisha lifestyle.
 
Wanasayanzi wa asili sasa hivi wanatumia h***ne jiangalie mzazi usije ukashindwa hata kupata child
 
ww itakuwa una piga punyeto na kuchek porno. acha kabisa. yaan hamna cha jini mahahaba maana jini ndio ww mwenyewe
 
Kwanza pole. Mimi naamini huna tatizo lolote, una kitu kinachoitwa "Papara ya ngono", ukitaka kufurahia hili tendo kwanza usiwaze sana hasa wakati ukiwa unafanya, hii itatoa mda mrefu wa kufanya bila kupz na wakati huohuo mwenzio nae atakuwa anakaribia kileleni. Tumia mda wako mara nyingi kwa shughuli nyingine badala ya ngono, shetani wa mtu ni mtu mwenyewe. Relax unaenjoy hili tendo.
 
Acha uzinzi na kuangalia porn hilo tatizo litaisha
 
Pole sana unajua kama humu kuna watu hata kama inakuwa unaomba ushauri inakuwa hakuna mtu anaekupa jibu la sawa sawa hivi inakuwa kwa nn wakati mwengine unakuwa una matatizo kweli lkn nashangaa hamna jibu mara huyu atakwambia hvi yuke atasema hv hebu jaribini kubadilika au na huyu mwenye shida inakuwa hayuko siriasi na anachokiuliza?
 
una miaka mingapi? wet dreams ni kawaida sana ukiwa unabalehe. sekondari hata nkilala mchana kuna wakati nlikuwa napata. with increasing age inapungua/kuisha.
 
Sio hali ya kawaida hiyo lakini ukiendelea na shuhuli zako itaisha yenyewe.Maana tamaa huwa na tabia ya kuwaka na baadae usipozishuhulikia zinapoa zenyewe.
 
Habarini ndugu zangu,naomba kuuliza kuhusu ndoto nyevu za usiku,maana nimekuwa naota nafanya mapenzi mpaka nina chafua shuka,kuna mtu niliwahi kumuuliza akaniambia eti nina jini mahaba je ni kweli?

Tatizo langu la pili ni kuwahi kupiga bao pindi nifanyapo mapenzi yani ndani ya dakika 2 kitu hicho na mbaya zaidi jana ndo nimeshangaaa maana nimepiga bao hata bila ya kuingiza uume wangu ndani ya uke wa mwanamke,NAOMBA KUJUA HAYA NI MATATIZO AMBAYO YANAHITAJI DAWA AU NI KAWAIDA TU?

umri bado mdogo na hujaizoea mipapuchi ukishakuwa mtaaluma hayo yote yataisha yenyewe wala si ugonjwa huo
 
Habarini ndugu zangu,

Naomba kuuliza kuhusu ndoto nyevu za usiku,maana nimekuwa naota nafanya mapenzi mpaka nina chafua shuka,kuna mtu niliwahi kumuuliza akaniambia eti nina jini mahaba je ni kweli?

Tatizo langu la pili ni kuwahi kupiga bao pindi nifanyapo mapenzi yani ndani ya dakika 2 kitu hicho na mbaya zaidi jana ndo nimeshangaaa maana nimepiga bao hata bila ya kuingiza uume wangu ndani ya uke wa mwanamke,NAOMBA KUJUA HAYA NI MATATIZO AMBAYO YANAHITAJI DAWA AU NI KAWAIDA TU?

mh pole sana kaka.. Kwa tatizo kama unavuta sigara , punyeto acha. Pia unapaswa kula matunda kama karoti, tikiti maji na tango , vyakula kama karanga , mboga majani kwa wingi , asali , mihogo na samaki vinasaidi kuimarisha mishipa ya ume
 
Funga kwa kushindia maji tu siku nzima na punguza kula .Ukifanya hivi tamaa zitapungua.
 
mh pole sana kaka.. Kwa tatizo kama unavuta sigara , punyeto acha. Pia unapaswa kula matunda kama karoti, tikiti maji na tango , vyakula kama karanga , mboga majani kwa wingi , asali , mihogo na samaki vinasaidi kuimarisha mishipa ya ume

wala sivuti sigara na wala sipigi puli,,ni hali iliyojitokeza gafla tu,,thanks kwa ushauri
 
kweli hili jambo tusipo likemea itakuwaje? Wizara ya afya Idara ya mafunzo imekula hasara kubwa baada ya mitihani ilo kuwa inaendelea vyuoni kuvuja na kusitishwa,ili itungwe mingne tokana na hlo gharama mpya kwa sababu ya watu wachache hebu aushauriane wewe unalionaje kama mwana jf
 
Back
Top Bottom