Mapenzi muda mwingine yanakuwa na vituko vyake na vinapotokea huwashangaza na kuwaacha watu midomo wazi. Mama huyu alimfumania mmewe na mwanamke mwingine na mumewe alianza kuomba msamaha na...
Wanawake player tabia zao ni hizi,
Wanapenda kucheat na siku zote awawezi ku date na mwanaume moja kwa muda moja.
Official ni liars, ila ukweli ni kwamba awapendi wanaume kuwacheat...
Nina elimu ya chuo kikuu, natafuta mchumba atakayekuja badae kuwa mume..,
SIFA:
Napenda mwanaume atakayenipa furaha, faraja na upendo wa kweli; ni pm uone picha zangu.
Ila kwa kifupi mimi ni...
Wakati mwingine nyie watu huwa naona hili neno huwa na tafsiri isiyoeleweka kwenu. Yani mmekuwa mkihisi kuwa ni halali kwenu kusema mmechoka. Lakini mambo huwa tofauti kwa mwanamke anaposema...
Jana nimetumiwa sms kutoka UK kuwa nimeshinda paundi kama laki kadhaa za microsoft promotion awards,hivi kuna ukweli au ndo matapeli wanatafuta fedha za sikukuu msaada wadau.
Siku zote hakuna mwanamke anae mthamini sana mwanaume asiye na chochote kinacho mfanya mwanaume awe maarufu mfano elimu, mali, kipaji nk. Lakn wanaume tunajithamini wenyewe hata wakati mgumu sisi...
Habari wana MMU.
Mimi ni msichana niko kwenye relation miaka minne sasa.
But kwa sasa mwenzangu naona amebadilika hakuna mahusiano mazuri teena. Nikimuliza kwa nia njema. Ananiambia napenda...
Wadau niwasalimu kwa heshima zote,
Pia niitumie fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa ushauri murua kuhus namna nzuri ya kubana matumizi na kuepuka madeni,,kwa kweli mmenifaa..
Back to the...
Tatizo la love connect ya Watanzania bado haijawa serious...Ukisema unatafuta basi watu wantakuwa wanakusanifu...Bado wanafikra mbovuuu...
Tunatakiwa tubadilike tuwe serious katika mambo...
Hii ni story fupi yenye mafunzo. Nilipoingia katika mahusiano
naye nilimuamini, nikampa kila
kitu nilichoweza. Nakumbuka
enzi zile nyumbani tulikuwa tuna
ngombe, niliiba maziwa kila siku
na...
Mwezi mja uliopita niliposti status ya kwamba natafuta mchumba na hatimae tukiendana tutaoana so nashukuru mungu amejitokeza mchumba ambaye nafikiri atakuwa mtu sahihi kwangu ahsante sana JF.
Najua wengi wenu amjui jinsi ya kumpata mpenzi mpaka mgaramike. Wengi wenu nyinyi kwa mara ya kwanza umekutana na mdada kitu cha kwanza unajionyesha kwa jinsi gani unao uwezo wa kifedha. Unafanya...
Najua ziko nyingi ila naona kama hizi ndio kuu
1. Umasikini, ama tamaa ya kuzidaka fedha za mali ki wepesi
2. Kutendwa na vijana wenzao, ivyo uamini kua wazee hawawezi kuwatenda.
Je umewahi ona...
Mama mkwe ana kunongoneza sikioni ,ukiwangalia kila mmoja anamwambia mwenziwe sogea huko kwa uzuri mama mkwe anasema haya yafuatayo: I will give you my kindness(nitakupa mavitu mwanangu hajawahi...
Habari wanaJF,
Nina mpenzi wangu ambaye kimsingi tunapendana na tumekubaliana kufunga ndoa mwaka huu, na hata amefikia hatua ya kunitambulisha kwao.
Tatizo linaloninyima raha ni yeye kuondoka...
Jamani ndugu wana MMU labour siyo mchezo jamanii duu..hasa sie wa mapacha kila mtoto ana uchungu wake..namshukuru Mungu wa mbinguni nimejifungua salama salmini..kazi kwenu kunitafutia majina...