Ushauri juu ya mapenzi

Ushauri juu ya mapenzi

kibobo

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
47
Reaction score
11
Habari wana MMU.

Mimi ni msichana niko kwenye relation miaka minne sasa.

But kwa sasa mwenzangu naona amebadilika hakuna mahusiano mazuri teena. Nikimuliza kwa nia njema. Ananiambia napenda kulalamika.

Najaribu kumwelekeza kila namna but naona kama naharibu. yeye anadai tumeshazoeana so hamna haja ya mapenzi kama ya mwanzo.

Hii hali inaniumiza saana. kiukweli nampenda saana but haya mahusiano yananiboa saana.

Naombeni ushauri wenu natamani mahusiano yetu yawe mapya kila siku.

But mwenzangu sio mtu wa kushaurika anadai sijiamini. Au hii ndio tabia ya mahusiano ya mda mrefu.
 
Sikia rafiki yangu mahusiano ya aina yoyote ni kama maua yanataka uyapalilie,uyatunze ndo yananawiri na usipofanya hivo yanakufa!!Huyo mwenzako inaonekana ameshachoshwa na mahusiano yenu kama hashauriki ujue u did what you had to do…Hapo hata hamjafunga ndoa,mkifunga ndoa si ndo mtakuwa mnapishana kama hamjuani humo kwenye nyumba….Keti utafakari,je kama hali ipo hivi sasa baadae itakuwaje?Ni muhimu kuwa na mtu ambae mtasikilizana na kuelewana!Kwenye mapenzi unatakiwa uwe creative kuyanogesha!
 
Fanya hivi...funga mdomo...fanya vitendo....mnaboa na malalamiko..
 
Ngoja nikutoe wasiwasi, anakupenda sana, huyo ni wako pekeako, usimzidishie stress huwezijua mchana wake anatumikaje, mda mwengine ishue za hela haziendi vizuri, unaemdai anakuzingua na mambo kama hayo....ndo tupo hivo kwa ufupi....
 
Its time kufanya analysis ya uhusiano wenu. Kuna mambo ukiwa kwenye ndoa unaweza kufanya. Like spicing up the romance and giving your marriage your all. To ensure the romance is alive.

But for a mere boyfriend who doesnt add value to your life let him go. Four years is a long time to be in just a relatonship with no sign of commitment in the near future. You probably don't wanna hear this but its the truth.
 
Sikatai but for how long?
 
Its true that sometimes these creatures prefer to see us but not necessarily hear from us and you need to give them room to breathe. The worst thing you could do to a stressed man is to start yapping the minute he gets home. I concur with this.

But on the other hand you need to observe him closely. With a woman's eye. Is he behaving sheepishly because there is somewhere else he would rather be? Is it really money issues bugging him?

You will then be able to understand the unspoken words then you can choose to hang on or move on.
 
Sikia rafiki yangu mahusiano ya aina yoyote ni kama maua yanataka uyapalilie,uyatunze ndo yananawiri na usipofanya hivo yanakufa!!Huyo mwenzako inaonekana ameshachoshwa na mahusiano yenu kama hashauriki ujue u did what you had to do…Hapo hata hamjafunga ndoa,mkifunga ndoa si ndo mtakuwa mnapishana kama hamjuani humo kwenye nyumba….Keti utafakari,je kama hali ipo hivi sasa baadae itakuwaje?Ni muhimu kuwa na mtu ambae mtasikilizana na kuelewana!Kwenye mapenzi unatakiwa uwe creative kuyanogesha!

sante kwa ushauri. nimeelewa na i appretiate
 
my dear wanaume hawapendi malalamiko kama unampenda na hutaki kumpoteza jaribu kumpa space uone atakupenda mpaka mwisho ila kama unataka muachane endelea kulalama nakuhesabia muda nakwambia,kuwa mvumilivu,jishushe,love and respect your men nilikuwa kama wewe mwanzo ila nilikuja kujua my men need some space,time na pia hapendi malalamiko,muachee afanye kazi alafu ukipata muda wa kuongea nae usilalame tumia huo muda kumuuliza mawili matatu ya job alafu muongee mamboo yetu yale,honey usilalamike kwa mwanaume utampoteza trust me hizo haki sawa zinatukost angalia wazungu wengi ni singe parent na chanzo ni wanawake,just respect him
 
pole sana my dear kibobo,

hebu jaribu kutikisa kiberiti ba wewe kwa muda, kwanini mzani ulalie kwako tu? kwani wewe ndiye mwenye shida sana ya penzi ama? kwanini uumie wewe tuu?

hebu fumba macho kwa wiki moja uone matokeo, tikisa uone!... If no reaction, ujue basi huna chako kwenye mradi wa mapenzi!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikutoe wasiwasi, anakupenda sana, huyo ni wako pekeako, usimzidishie stress huwezijua mchana wake anatumikaje, mda mwengine ishue za hela haziendi vizuri, unaemdai anakuzingua na mambo kama hayo....ndo tupo hivo kwa ufupi....

sante... let me see
 
Its time kufanya analysis ya uhusiano wenu. Kuna mambo ukiwa kwenye ndoa unaweza kufanya. Like spicing up the romance and giving your marriage your all. To ensure the romance is alive.

But for a mere boyfriend who doesnt add value to your life let him go. Four years is a long time to be in just a relatonship with no sign of commitment in the near future. You probably don't wanna hear this but its the truth.

sante.. u open up my eyes
 
my dear wanaume hawapendi malalamiko kama unampenda na hutaki kumpoteza jaribu kumpa space uone atakupenda mpaka mwisho ila kama unataka muachane endelea kulalama nakuhesabia muda nakwambia,kuwa mvumilivu,jishushe,love and respect your men nilikuwa kama wewe mwanzo ila nilikuja kujua my men need some space,time na pia hapendi malalamiko,muachee afanye kazi alafu ukipata muda wa kuongea nae usilalame tumia huo muda kumuuliza mawili matatu ya job alafu muongee mamboo yetu yale,honey usilalamike kwa mwanaume utampoteza trust me hizo haki sawa zinatukost angalia wazungu wengi ni singe parent na chanzo ni wanawake,just respect him

sante massai dada... nimeelewa.
 
sante.. u open up my eyes

Unajua sometimes people simply fall out of love. The things that drew you to each other are no longer significant. You might have shared the same likes, hobbies etc but when the spark is dead there is nothing you can do about it, you just have to move on.

Wewe ndie unaejua hali halisi ikoje. Je, kuna mahitaji alikuwa anakutimizia hayapo tena? ... What has changed... Take it step by step. Usikurupuke.
 
pole sana my dear kibobo,

hebu jaribu kutikisa kiberiti ba wewe kwa muda, kwanini mzani ulalie kwako tu? kwani wewe ndiye mwenye shida sana ya penzi ama? kwanini uumie wewe tuu?

hebu fumba macho kwa wiki moja uone matokeo, tikisa uone!... If no reaction, ujue basi huna chako kwenye mradi wa mapenzi!

hahahaha. sante i will work on it.
 
Last edited by a moderator:
pole sana my dear kibobo,

hebu jaribu kutikisa kiberiti ba wewe kwa muda, kwanini mzani ulalie kwako tu? kwani wewe ndiye mwenye shida sana ya penzi ama? kwanini uumie wewe tuu?

hebu fumba macho kwa wiki moja uone matokeo, tikisa uone!... If no reaction, ujue basi huna chako kwenye mradi wa mapenzi!

hahaha sante will work on it.
 
Hi king Excel
miss you
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom