imekuja kwa wakati muafaka kabisa...
ukitaka upendwe zaidi, hata kama mapenzi si pesa kama wanavyodai, lazima angalau uwe na pesa kidogo kama ingredient ya penzi lako.
mwanamke ni kimbe dhaifu, the strength of the woman, mbali na kuridhishwa kimapenzi, PESA INAHUSIKA PAKUBWA SANA