Mama mkwe anapo kuangalia kwa jicho la maovu.(dirty look) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama mkwe anapo kuangalia kwa jicho la maovu.(dirty look)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sonara, Dec 14, 2009.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mama mkwe ana kunongoneza sikioni ,ukiwangalia kila mmoja anamwambia mwenziwe sogea huko kwa uzuri mama mkwe anasema haya yafuatayo: I will give you my kindness(nitakupa mavitu mwanangu hajawahi kuviwaza)
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  unamaanisha nini? anakutaka? mmege hadi tigo kama vipi?
   
 3. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tigo ndio nini tena au ndio kiswahili kipya?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  unatokea wapi? kishimundu?
   
 5. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jicho la maovu au dirty look ndo unamaanisha anakuangalia kimahaba?
  Inategemea kama analipa(kamahajazeeke) unaweza kummega kiaina!
   
 6. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2009
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hata mkwe mnataka kumega jamani!? ni nani kawaloga? wanawake wote hawa? hata kama mkwe analipa vipi. abormination!!!!!!!
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,835
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Kishimundu hamna tigo, siyo? Asalaaaalee!
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  inategemea sasa!
  kuna mama wakwe wengine lol!DENJA:D
  ukishagugumia taska kadhaa,lol!DENJA
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,835
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Afu ukute waifu wako ndio festiboni! Mamkwe bado mbichiiiiiiii! lol!
   
 10. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Unfair, usijaribu kufanya kitu chochote, hivi mamako ameenda kwa wakweze huko akaonyesha kitu kama hicho nae amegwe. Ebu jaribuni kushauri kitu ambacho kama ni mamako angefanyiwa how could you feel?

  Mkweo huyo ni pepo! dont test.
   
 11. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Kimbia mbali saaanaaaaaaa tu.
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,171
  Trophy Points: 280
  kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi na huduma za intaneti
   
 13. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  du, huyo mama mkwe ana pepo, lakini hata huyo mwanaume anachukua muda kabisa kufikiria ammege au asimmege? hili si swala la kuomba ushauri unless na huyo jamaa naye hajatulia.
   
 14. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mama mkwe mnatafutana nini nae hata uje kuona akikuangalia kimahaba haba....wewe nawe umo...sema we ndio watake kula kuku na mayai yake!!! shindwa kabisa!
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,835
  Trophy Points: 280
  Shishi mambo? Wikiendi iliendaje? Una mtoto wa kike wewe? Kuna kijana wangu analeta usumbufu pale home.
   
 16. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ahahahah Xspin..mpendwa wikendi ilikuwa poa sana... yako je?? nilikumiss..hivi ZD leo yuko eneo hili nisije nikazabwa kibao!!!! Mwe! ngoja 2010 ndio najiandaa kwa hiyo shughuli ya kutafuta tu bambino...nta make sure ni kabinti kamtulize huyo mwanao!!!! like son like father....mmmm sisemi kitu!!!
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,835
  Trophy Points: 280
  Hahaha! ZD leo kaenda kliniki. Matunda ya mikumi hayo! You better get married to the handsome guy! My boy is very selective! (Just like his dad). Hachelewi kumzengea mama mkwe kama binti atamletea za kuleta: btw weekend ilikuwa bomba, serengeti na bia zilipata habari yake.
   
 18. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  ahahahah xspn wewe una vituko mwana we! ati handsome kama babake.....haya wacha nimtafuta huyo handsome kabinti kangu kasije kakamkosa huyo mwanao!
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,835
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Angalia nimeanza na mahari ya SENKSI! Kula senksi SHISHI! my in-law!
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa naye hajatulia, kwani mkeo hakutosherezi hadi umtake na mama yake?
   
Loading...