Jana nimetumiwa sms kutoka UK kuwa nimeshinda paundi kama laki kadhaa za microsoft promotion awards,hivi kuna ukweli au ndo matapeli wanatafuta fedha za sikukuu msaada wadau.
Wewe nae unataka kututapeli kimawazo?lete thread yenye akili.kwa hiyo sis ndo tuwapigie huko uk tuwaulize?au ndo misifa tujue ulikua uk?haya bwana uk hawajambo?
Mkuu,matapeli hao,..hata mimi miaka miwili iliyopita niliwahi kutumiwa meseji ya namna hiyo kuwa nimeshinda pound 650,000,..nikawasiliana nao. Mwisho wanataka utume hesa kwaajili ya kufanya transfer,..nikaachana nao. Ila mimi ilikuwa nokiaprize.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.